Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Atapelekwa Kinshasa akacheze ndomboro ya solo
Pamoja na hayo ila kuna makada loyal wametoswa na yeye wa team Lowasa kateuliwa,
Inasemekana etii hapo Lumumba hasa vijana wa uvccm wametokwa povu baada ya nchimbi kuteuliwa.
 
Hv huyo no. 8 si ndo yule aliekuwa Mkuu wa Uhamiaji alietumbulia?
 
Ajira serikalini hazijasitishwa kama mnavyoaminishwa; na huo ukaguzi mnafanyiwa makabwela tu. Watwana wanaendelea kuteuana na kupangiana mishahara na posho kama kawaida.
 
Mzee wa msoga, ulipiga 5:7 ulitusogeza kidogo japo hukuweza kusawazisha kabisa maana walikulaumu kupitiliza. Tulikulilia sana walau tupate 7:7 ukaweka hekima zako mbele, kwakua ulikuta 3:7 basi hata hapo 5:7 ulijitahidi. Sasa wamekuja wenyewe wameswitch 1:7, shaikh Khalifa kabeep kidogo kuwakumbusha wakasogeza 2:7. Wayunani jitahidini kuona haya jamani!!! hivi hata kuwa balozi tu utasema hawakusoma kuliko wale?
 
Hii inaitwa amnesia retrograda, nilifundishwa wakati nachukua General MD...si bure
 
Kwa huu uteuzi sidhani kama mkuu huwa anapata muda wa kuchambua, nadhani akiwaza basi atakaye kuja kichwani basi anambeba. balozi ni MTU muhimu sana , lakini hapa naona siasa zimetawala kwenye uteuzi kuliko vigezo vya kiutendaji.
Ili aweze kuwaburuza....!!??&&$$##@@
 
Dini umeletewa na muarabu lakini mjuaji hatari. Dini za wenzetu, tuwaachie dini zao. Upumbavu mtupu unaouonyesha!!

Hapana si kweli, aliyekufundisha hivyo kakujaza ujinga.

Issa, Mussa, Yusuf, Yakoub, Suleman...Adam.

Jee, wote hao ni Waarabu?
 
Ccm is for Christian kwani ulikuwa hulijui hili? Au kazi ya condom na toilet paper huijui?

Toilet paper ukishamaliza kuchambia ni ya kutupwa na kuflush chooni tu.

Mkuu mbona baadhi ya maneno uliyo tumia yanatia ukakasi kidogo!!!
 
Hapana si kweli, aliyekufundisha hivyo kakujaza ujinga.

Issa, Mussa, Yusuf, Yakoub, Suleman...Adam.

Jee, wote hao ni Waarabu?

Faiza, utambiwa hao wote ni Waarabu save Adam lakini ungesema: Yesu, Joseph, Jacob/James, Suleman .... Adam hapo watasema mwarabu ni Suleman!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…