Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Angemnyima ubunge kuliko kumvunjia heshima.
Aliyevunjiwa heshima na anayemvunjia wote ni wezi wa kura. Hakuna mwizi yoyote wa kura mwenye heshima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angemnyima ubunge kuliko kumvunjia heshima.
Sasa Magu na abood wamefanana kwa kuuwa ajira.Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga kihonda Morogoro.
Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili na serikali na yeye badala ya kuviendeleza akavitumia kukopea benk na kununua mabasi.
Rais Magufuli amewataka wawekezaji kuitendea haki nchi hii.
Maendeleo hayana vyama?
Acha anyoooshwe barabara.Angemnyima ubunge kuliko kumvunjia heshima.
Kama kuuwa ajira ni sababu ya kujiudhuru wa kufanya hivyo mapema ni Magu, kauwa ajira nyingi kwa maamuzi yake.Huyo mbunge na vile hakuchaguliwa kwa kura kama anajitambua kwa kauli hizo za kudhalilishwa ni bora angejihuzulu. Kama kiongozi wako wa chama anasema umepoteza ajira za wananchi wako, sasa unaendelea kukaa kwenye hiyo nafasi umtumikie nani? Labda kama huo ubunge ni backup ya biashara zake na sio kutumikia wananchi.
Una uhakika alichofungua ni kiwanda? Ukiingiza malighafi ya mpunga unapata nn?Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga Kihonda Morogoro.
Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili na serikali na yeye badala ya kuviendeleza akavitumia kukopea benk na kununua mabasi.
Rais Magufuli amewataka wawekezaji kuitendea haki nchi hii.
Maendeleo hayana vyama?
Ndio akili za huku ushenzini kwetu. Yaani ukishindwa kuhudhuria mazishi unalaumiwa kuliko asiyemchangia jirani yake ada ya shule. Africa ni giza kwelikweliMiongoni mwa wabunge ambao sijawahi ona mchango wake n Abood. Zaidi utasikia anasaidia Kari la kwenda kuzika. Tz's akili ndogo
🤣🤣🤣Ni kiwanda baada ya kiwanda
Tunatekeleza ilani ya CCM bwashee!
Sasa kwanini mlimpa ubunge ka nijambazi...Jambazi hana heshima yoyote!
Du kumbe ccm hupitisha majambazi kuwania ubunge, sikulijua hili mkuu.Jambazi hana heshima yoyote!
Mchina kesha mletea chanjo akiwa kule kitovuni kwa utalii. Hutaiona tena ile feni inayowekwa karibu.Jamaa linajiamini sana, liko busy kusongamanisha watz kwenye zinduzi zake za mashimo ya vyoo wakati changamoto za upumuaji zikiondoka na mamia kila siku.
Jana kamuumbua Meya kuwa kaingia kwa rushwa na Leo mbunge.Huyo mbunge na vile hakuchaguliwa kwa kura kama anajitambua kwa kauli hizo za kudhalilishwa ni bora angejihuzulu. Kama kiongozi wako wa chama anasema umepoteza ajira za wananchi wako, sasa unaendelea kukaa kwenye hiyo nafasi umtumikie nani? Labda kama huo ubunge ni backup ya biashara zake na sio kutumikia wananchi.