Rais Magufuli afungua Kiwanda cha Kukoboa Mpunga Morogoro. Amlaumu Mbunge Abood kwa kuua ajira Mjini Morogoro

Rais Magufuli afungua Kiwanda cha Kukoboa Mpunga Morogoro. Amlaumu Mbunge Abood kwa kuua ajira Mjini Morogoro

Ameenda kuzindua mashine,
Hivi kiwanda unakijua?
 
Ni kiwanda baada ya kiwanda

Tunatekeleza ilani ya CCM bwashee!
Muulize; barabara ya Mwz-Musm pale Kisesa kuna vinu vya kumwaga vya kukobolea mpunga atakuja kuzindua lini? Pia barabara hiyo hiyo eneo la Lamadi kuna kingine kikubwa kuliko cha Kihonda hakijazinduliwa pia.
 
Jana kamuumbua Meya kuwa kaingia kwa rushwa na Leo mbunge.
Huyu mzee baada ya kupiga chanjo kwa siri inaonyesha imempa style mpya ya kuumbuana yeye na wenzake.
Hutu bwana haeleweki kabisa kwa namna anavyobehave,anazidiwa mpaka na Kenyetta mvuta sigara kubwa
 
Rais aendeleze moto huo huo watu wamejisahau sana.
 
Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga Kihonda Morogoro.

Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili na serikali na yeye badala ya kuviendeleza akavitumia kukopea benk na kununua mabasi.

Rais Magufuli amewataka wawekezaji kuitendea haki nchi hii.

Maendeleo hayana vyama?
Anazindua mashine ya kukoboa mpunga,bado atazindua kibanda cha kuuza juice
 
Kama Cherehani mbili ni kiwanda, sasa vp mashine ya kukoborea mpunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndivyo mnavyo shindwa mitihani! Kiwanda ni cherehani nne siyo mbili (ref. Mwijage, 2018)
 
Kuna watu wanatumwa kufanya kazi ya mungu. Magufuli mwenyewe anashangaa kwanini viwanda vimejengwa vijijini.

Kitu ambacho ajaona ni kwamba ivyo viwanda vipo kando ya barabara na maeneo ambayo material ya viwanda zinapatikana; bila ya yeye kujenga barabara wasingeenda hapo (its all about accessibility).

Ndio maana wengine tunasema jenga, jenga na jenga miundombinu; with access unashawishi watu kuwekeza.

Watanzania walio wengi akili zao zinaishia kwenye biashara ya kufungua maduka ya nguo tu si kutengeneza ajira, kama ni kuvutia FDI na kutengeneza mamia ya ajira jenga, jenga na jenga miundombinu Magufuli.

Huo ndio mwanzo tu the future is bright.
 
Jana kamuumbua Meya kuwa kaingia kwa rushwa na Leo mbunge.
Huyu mzee baada ya kupiga chanjo kwa siri inaonyesha imempa style mpya ya kuumbuana yeye na wenzake.
Ndugu Chakaza kwa hili la chanjo una bajeti ya wakili wa kesi ya uchochezi?
 
Jibu ni rahisi tu, unapata Mchele. Kiwanda tayari.
Hahhaa kama vile amavyo unakiweka mahindi unapata unga...unauhakika siyo masjine ya SATAK hiyo ikiyotengenezwa na NANDRA ENG. pale Moshi?
 
Back
Top Bottom