Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Kama wanakosea kwa nn? Wasitukanwe. Ukisema walimu, kila mtu ana mchango wake katika huuu uchumi na hiii nchi kama wakulima, wamama, wakunga na madaktari piaHao waalimu unaowakashfu hapa ndio waliokufanya Leo ujione mjanja nyuma ya keyboard.
Wengine hao waalimu ni baba, mama na ndugu zetu na hata tunaosoma huu ujumbe wako ni waalimu. Wewe katika elimu yako kuna shule hukufundishwa na hawa waalimu unaowaita mialimu?
Nyie nyumbu pingapinga Fc ndo mnafanya wananchi wanaichukia chadema maana mkisikia Magufuli anafanya hata jambo la kawaida tu lazima mpinge.
Sent using Jamii Forums mobile app