Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

Hao waalimu unaowakashfu hapa ndio waliokufanya Leo ujione mjanja nyuma ya keyboard.

Wengine hao waalimu ni baba, mama na ndugu zetu na hata tunaosoma huu ujumbe wako ni waalimu. Wewe katika elimu yako kuna shule hukufundishwa na hawa waalimu unaowaita mialimu?

Nyie nyumbu pingapinga Fc ndo mnafanya wananchi wanaichukia chadema maana mkisikia Magufuli anafanya hata jambo la kawaida tu lazima mpinge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wanakosea kwa nn? Wasitukanwe. Ukisema walimu, kila mtu ana mchango wake katika huuu uchumi na hiii nchi kama wakulima, wamama, wakunga na madaktari pia
 
Wale wale. Kwani uoijifunza mwenye ndo uwakashfu wanaofindisha? Hiyo keyboard inayomfanya ajione mjanja imetengenezwa na watu waliofungua na waalimu. Hata ukufunza mwenyewe Kuna sehemu ambayo huwezi kukwepa waalimu.
Acha kutetea upuuzi. Mkikosa hoja mnaleta vioja eti Kama kajifundisha mwenyewe jinga kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu hayo ni mawazo yake na lazima yaheshimiwe sasa wewe unafosi mawazo yako yawe sawa ?
 
Sasa hayo ndiyo yanafanya kada ya ualimu iwe isiyo jielewa [emoji3][emoji3][emoji3]duh elimu, elimu, elimu, nilijua utakuja na ushahidi wa msingi kutetea hoja yako, kumbe pumba tupu, halafu unanitukana kama unanijua vilee [emoji3][emoji3]
Nisamehe kwa hilo, please ,please, Kada ya ualimu imedhalilishwa na huyu mwalimu wetu ambaye ndiye kiongozi mkuu na wao kupiga makofi kwamba BARAKOA NI KAMA SIDIRIA
 
Halafu sasa najua kwa nini nchi hii haipigi hatua. Inaongozwa na walimu wa msingi na sekondari. Inaongozwa na watu ambao hata kombi za kidato cha nne hazikukubali. Wengine walikwenda half-combi. Watu wenye akili zao kwa nini wanaogopa siasa?
Una uhakika?
 
Jamaa anavyopenda kuongelewa,bado tu kufungua mkutano wa wamiliki wa shule za chekechea
 
Mkwawa ipi mkuu, una maanisha MUCE, sjui kwa sasa, ila kuanzia 2015kushuka chini walikuwa hawachukui dv 3, ilikuwa two na one kwa bachelor ya education, kama ni MUCE lakn, na hao ndio walimu wanao mfundisha mwanao, wanafanya mwanao anafaulu vizuri then unakuja kuwasema vibaya kwenye mitandao
Mkwawa walimu walikuwa wanasoma half-combi km Maths + Chemistry, kwa taarifa yako. Na hao walikuwa wale ambao combi nzima kama PCM hawakuwa na credit za kuwapeleka.
 
Pamoja na kuondoa vyeti feki ,wafanyakazi hewa na kupunguza allowances na kutoongeza mishahara lakini Gharama za Kulipa mshahara zimeongezeka enzi za JK ilikuwa mshahara bil 500 ila kwa Hapa kazi ni 600B.
Maana yake kuna ongezeko la wafanyakazi na mshahara. Alafu maisha hayarudi nyuma yanaenda mbele. Wafanyakazi wanaongezeka.
 
Haikuwepo MUCE wakati Magufuli anasoma Mkwawa. Acha ubishi wa kitoto.
Mkwawa ipi mkuu, una maanisha MUCE, sjui kwa sasa, ila kuanzia 2015kushuka chini walikuwa hawachukui dv 3, ilikuwa two na one kwa bachelor ya education, kama ni MUCE lakn, na hao ndio walimu wanao mfundisha mwanao, wanafanya mwanao anafaulu vizuri then unakuja kuwasema vibaya kwenye mitandao
 
Haikuwepo MUCE wakati Magufuli anasoma Mkwawa. Acha ubishi wa kitoto.
Unaongelea mambo ya kipindi cha mkoloni? Mambo yamebadilika, hiyo system ya usomaji kwa sasa haipo, na hata waliosoma kwa kupitia hiyo system ni wachache mno katika ajira ukilinganisha na ... Usiishi kwa kukariri
 
Acha utoto wako. Nimeongelea viongozi wa sasa wa nchi ambao ni walimu ambao wamepitia system hiyo. Siongelei watoto ambao wako MUCE leo hii. Ukimaliza shule njoo JF uchangie. Kwa sasa soma.

Nimekujibu kulingana na post yako ya kwanza,.. Hata kama, we jambajamba tu hapa lakini mwisho wa siku hao ndio wanakufanya u survive [emoji3][emoji3][emoji3] don't you see that, they are smart kuliko ww unaye Kuja kuropoka hapa,
Acha utoto wako. Nimeongelea viongozi wa sasa wa nchi ambao ni walimu ambao wamepitia system hiyo. Siongelei watoto ambao wako MUCE leo hii. Ukimaliza shule njoo JF uchangie. Kwa sasa soma.
 
Mungu ananifanya niishi. Simtegemei mwanadamu. Wewe tegemea binadamu kwa ujinga wako na kukosa maarifa.
Nimekujibu kulingana na post yako ya kwanza,.. Hata kama, we jambajamba tu hapa lakini mwisho wa siku hao ndio wanakufanya u survive [emoji3][emoji3][emoji3] don't you see that, they are smart kuliko ww unaye Kuja kuropoka hapa,
 
Wewe unasoma chuo gani hicho? Haya ma-vyuo siku hizi mnakwenda hata division 0! Mimi nimesema nina kazi nzuri kuliko ya wanasiasa, wewe unaleta habari ya walimu! Sitakujibu tena. Nawezakuwa nabishana na mbumbumbu fulani nyuma ya keyboard!
Basi kaa kimya, usidharau professional za watu, kama kazi yako ni nzuri kuliko ualimu it's fine.
 
Back
Top Bottom