Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Wewe ni mwendawazimu wa ccm huoni hata aibu kuandika ushenzi wako?
 

Mkuu naona unajishuku na maoni yako, hivi ukisema huna chama ndio maelezo yako yatakuwa sahihi? Mtiririko wa maoni yako pekee unatosha kujua uko chama gani.
 
Wewe ni punguani haswa
 
Hivi ni lini Mbowe aliwahi kumtukana Magufuli?,acheni ungese
 
Wewe ni punguani haswa

Wewe ndio Punguani+++, kichaa na mwendawazimu uliyelaaniwa tangu tumboni mwa mamako. Kama hii mada huielewe peleka k*nd*z kwa sengez wenzako...maaluni mkubwa!! 😎
 
Inayo onyesha shambulio hilo litakua limefanywa na wenyewe Chadema, ili kupata huruma ya Wananchi.

Wewe yamkini ni mmoja wa washenx wanaojifanya hamjulikani kwa kulindwa na Jiwe! Listen this clear and listen good: Hapana marefu yasiyo na ncha...a day is coming you'll be exposed like nobody....! The recent death of George Floyd in the USA has changed the history in America!!
Ni swala la muda tu Tanzanians shall follow suit!
 
Lakini jamani tunamuamini alieleta uzi? Isije ikawa ni mambo yakutupa taharuki mbona hata picha hajaweka humu?
Mbowe kasafitishwa leo kupelekwa Dar kwenye matibabu!!
Achana na mavuvuzela wa Lumumba eti mtu ajiumize miguu kweliii??
Eti CDM wauwane wenyewe inawezekana??
Leteni CCTV cameras kuanzia za Lissu yuone ukweli!!
USA camera zimeonyesha Polisi akiuwa mtu matokeo umeyaona??
Kamata wasio julikana tujue ukweli!!
 
Inayo onyesha shambulio hilo litakua limefanywa na wenyewe Chadema, ili kupata huruma ya Wananchi.

Non-sense! Nyie endeleeni kuleta utani kwene serious issues kama hii, you gonna reap what you sow!
 

Huko Marekani Kuna maandamano ya KUPINGA UBAGUZI wa rangi baada ya Polisi mweupe kumwua George Floyd kwa vile tu ni Mmarekani mweusi.
Lakini pia maandamano hayo yameenea mpaka nchi za Ulaya! Je, kwa akili yako ya ki-mataga wote wanaondamana huko nao wana vyeti feki?
Jaribu kuficha ujinga na uzezeta wako!
 
We ni mwehu wewe! Kapimwe,unaongea nini sasa haya mjinga we
 
We ni mpumbavu tu wala mimi mwenyewe sina sababu ya kubishana na jitu jike jinga shenzi type

Funga Domo lako kilaza mkubwa wewe....bila ya shaka wewe ni shoga mzoefu nenda Mombasa ukapate dozi saizi yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…