Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

 
Mara ngapi ameitwa yeye na dereva wake waje watoe ushirikiano Kwanini hakutoa ushirikiano?
Serikali inahusika na ndio maana wanatafuta kichaka cha kujificha!
Kwanini wasianze na walinzi suma JKT ambao waliopaswa kuwepo getini 24/7?
 
Acheni exaggeration.... Mbona Darfur na DRC mlikufa kma kuku? Mnachoweza ni kupambana na raia wasio na silaha ila tungekua na radical opposition kma Al Qassem Brigade nadhani tungeheahimiana.
Nina mashaka na uraia wako inawezekana nawe ni mmoja wapo kati ya wale pandikizi wa MABEBERU. Nenda DRC waulize M23 tulichowafanya.
 
Serikali inahusika na ndio maana wanatafuta kichaka cha kujificha!
Kwanini wasianze na walinzi suma JKT ambao waliopaswa kuwepo getini 24/7?
We umeona wapi kosa afanye mkeo uanze kumbana house girl. Waliitwa waje watoe ushirikiano ili wahalifu waliompiga wapatikane jee alikuja?
 
Na akina JK, Kinana, Nape na Makamba wote wamemkacha. CCM mpya hawana cha kumsaidia zaidi ya mapambio

Mwenyekiti wao anaendesha chama na nchi kibabe.... CCM asili wameona wakae pembeni waangalie mchezo...
 
..mnasema vyombo vyote vya ulinzi ni vya kwenu.

..sasa ni nani aliondoa walinzi wenu wa area D Dodoma ili kupisha magaidi waliotumwa kumshambulia TL?
Ndio maana mje mtoe hayo maelezo ili kwa pamoja tushirikiane kumjua muhalifu ni nani.
 
Wewe inaonekana ni mkristo mzuri ila sasa, nasema ila haujui lolote kuhusu maandiko, Mungu kamtuma nani sasa?
Huna Cha kunishauri kweli maandiko siyajui ila ukuu wake umetamalaki ndani ya moyo wangu ,haya we vipi unayeyajua maandiko kipi amekutendea ,hachani kujitafutia lahana itawatafuna vibaya mno sio Mimi asema bwana
 
Inaonekana ngoma zikipigwa kwenye uwanja mmoja lissu anaumia, ahsante kwa picha zako! Huu nao niutafiti unao onyesha magufuri ni baba lao.
 
Mimi nilifikiri ameenda mahali Lissu alipokuwa anafanya mkutano, kumbe amepita barabarani na kusalimia tu.
Mnalalamika kwa kuwa hakupata watu wengi, watu wote wangeenda kwa Lissu na yeye kukosa watu mngeshangilia sana.
 
Nina mashaka na uraia wako inawezekana nawe ni mmoja wapo kati ya wale pandikizi wa MABEBERU. Nenda DRC waulize M23 tulichowafanya.
Jibu swali ilikuaje waasi wa ADF waliwanyoosha vile let alone ile ambush Darfur? Si mmejidai mnanusa adui akiwa Mita elfu 1?
 
Ndiyo maana nikakwambia hujui maandiko, simjui mtu hapo ila namfaham shetani tu hapo.
Sasa Kama wamfaham shetani kwa Nini ubishane na mtu alijaa roho mtakatifu Kama Mimi ,kaa na shetani na mbaya zaidi hajawai shida,na ukiendelea nitakupa mfano mzuri ambao hutousahau kwamba mungu ni zahidi ya shetani hivyo ishia hapo
 
Mnahakika mkorofi ni huy ambaye ameshindwa kufanya mikutano hapo katavi nakuja huko lengo lake ndio lilikua hilo ili aonekane kubwa magufuli mkorofi na angali mkorofi twamjua muumkanye lisu ashike adabu
 
ingekuwa chadema hapo wangebambikiwa kesi kama alivyowabambikia wasaidizi wa membe aliotoka nao Dubai, CCM kipindi cha kampeni bado wanaendelea na ubambikiaji kesi hawajui kuwa Tabia za kuwabambikia kesi wapinzani ndiyo sumu inayoimaliza CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…