Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

Nadhani ingekuwa vema likaitwa jiji la Ilala au jiji la Magufuli, hii DSM itaendelea kuchanganya watu , maana hata bandari iko Manispaa ya Temeke !
 
Kwa mtazamo wangu nadhani watumishi waliokuwa wa manispaa ya ilala ndio wote kwa ujumla wao wamepandishwa kwa ujumla wao kushika nyadhifa zote za lililokuwa jiji la dar es salaam
 
Acheni ubaguzi nyinyi kwani watu wa masaki hawafi wanaishi milele..mmefika gongo la mboto au chanika kuona jinsi kulivyokuwa na maendeleo ya kiuchumi....Nyinyi ni kupinga tu.
 
Nadhani walishindwa kutoa kura za kutosha mpaka ulipotumika ubabe ndiyo maana hadhi ya jiji haiwahusu.
 
Elimu yetu ni dhahiri shahiri ina shida sana. Watu wana vyeti ila bongo zao ni tupu.

Haya ndio madhara ya kucheza na Elimu. Kitu kimezungumzwa kwa Kiswahili fasaha watu mnashindwa kuelewa nini!?

Hii ni hatari kwa Taifa.
 
Yale ma Div 5...

Na wale wa BRN.. Waliopangwa kwa GPA... nafikiri sasa wako mtaani.
Tunasumbuana tu.
 
Sasa hivi EFM & TVE, CLOUDS, ITV, RADIO ONE, EATV, WASAFI, RADIO MARIA, zipo nje kidogo ya jiji la dar es salaam halafu RADIO TUMAINI NA TI FM zipo katikati ya jiji la Dar es salaam pale Tabata Magengeni ambapo wakazi wake wanakula mihogo iliyoiva na mibichi wanasinzia mchana kutwa.
 
Kuna wajinga kama wewe wataamini upotoshaji huu..
 
Usiogope Dr Tulia aliugua mara mbili lakini anadunda kama kawa!

MwanaFA aliugua na sasa yuko bungeni

Piere Liquid aliugua na sasa ni meneja wa Saidia Simba Ishinde

Usiogope bwashee chukua tahadhari
Bila kusahau mtoto wa Mbowe na wa mtoto Magufuli wote waliuguwa na kupona.
 
Dar es salaam maana yake ni nyumba ya amani,
Na hii ni lugha na hili ni jina tu haliakisi chochote, kwani mambo yanayofanyika dar mengi ni ya hovyo, sasa nauliza hili jina ndio linakufa rasmi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…