HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
99% ya Watanzania hawataelewa na wengine wamechagua kutoelewaHalmashauri ya jiji imevunjwa.hakuna madiwani. Ilala will take care as a city council.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
99% ya Watanzania hawataelewa na wengine wamechagua kutoelewaHalmashauri ya jiji imevunjwa.hakuna madiwani. Ilala will take care as a city council.
Hoja hapa ni kwa nini kusiwe na mjumuisho na wa Wilaya nyingine!!??99% ya Watanzania hawataelewa na wengine wamechagua kutoelewa
Kupunguza wingi wa halmashauri. Badala ya halmashauri sita (jiji na manispaa tano) sasa zinakwenda kubaki tano tu.Mie hata sijaelewa hii kitu inafaida gani yaani ilala ambayo ikinyesha mvua ya jero njia zote zina jaa maj
Hata Arusha nayo ni kaeneo Fulani tu ndo huitwa jiji sio WILAYA yote ya Arusha ni jiji,the same applied to mikoa ya Mwanza na MbeyaNa kwenda mkoa wa Dar na rudi jiji la Mwanza na Arusha maana Dar sio jiji tena wilaya moja ndio jiji
Safi sana,
ile halmashaur ilkua imekaa kipigaji pigaji.
Maana hata kueleweka ilkua haieleweki
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiingie chaka mkuuAsante sana
Asante sana kwa ufafanuzi huu mkuu, naanza kuelewa logic ya hii mpango.
Unaishi Tanzania?Hizi sarakasi ngoja tuone mwisho wake , Chanika ni Jiji , Mwenge, mikocheni , Masaki , oysterbay ni Manispaa !
Hii move ina malengo fulani ya hovyo sana lakini mahesabu yake wameyakosea mno !
Ilala lazima ingekuwa Jiji ukizingatia miundo mbinu na ofisi nyingi zipo maeneo hayo! Pamoja na yote hayo hili suala sioni kama lina tija
Administrative area.
Ilala iliyojaa mateja na mashoga kila baada ya nyumba moja, kawadanganye mandezi wenzioTusipotezeane muda na wala tusibishe kwa hili Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli yupo sahihi kwani Ilala ndiyo Dar es Salaam na Tanzania vile vile. Na hata Watoto wa Mjini wote wapo Ilala na siyo Kwingineko ambako kumejaa tu Washamba na Malofa watupu japo wenyewe ( wao ) wanajiona Wajanja.
Hapa nimemuelewa rais alichofanya nikupunguza Gharama za uendeshaji wa iliyokuwa halmashauri ya jiji wakati wanaounda hilo jiji wapo hapahapa ilala ,kinondoni na temeke.
Amefanya vyema ilala inaweza ku handle shughuli zote za iliyokua halmashauri ya jiji. Wale wazamani mtakumbuka iliyokua tume ya keenja mambo hayakutofautiana sana na hili.
Ndio mkuu , ila niko nje ya jiji huku Tandika MwembeyangaUnaishi Tanzania?