Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

Mie hata sijaelewa hii kitu inafaida gani yaani ilala ambayo ikinyesha mvua ya jero njia zote zina jaa maj
Kupunguza wingi wa halmashauri. Badala ya halmashauri sita (jiji na manispaa tano) sasa zinakwenda kubaki tano tu.
 
Na kwenda mkoa wa Dar na rudi jiji la Mwanza na Arusha maana Dar sio jiji tena wilaya moja ndio jiji
Hata Arusha nayo ni kaeneo Fulani tu ndo huitwa jiji sio WILAYA yote ya Arusha ni jiji,the same applied to mikoa ya Mwanza na Mbeya
 
Ila tangu hapo awali, mji mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ipo Ilala-Boma, Ikulu iko Ilala, Hospital ya Taifa iko Ilala, CBD kama Kariakoo, Kisutu, Posta vyote viko Ilala. Kuhusu Chanika, Pugu, kulinganisha na CBD mpya iliyokuja kwa kasi ya kuanzia Morocco hadi Makumbusho na Mwenge hadi eneo la Mlimani City, sijajua itakuaje
 
Asante sana kwa ufafanuzi huu mkuu, naanza kuelewa logic ya hii mpango.
 
Safi sana,
ile halmashaur ilkua imekaa kipigaji pigaji.

Maana hata kueleweka ilkua haieleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
Instagram media - CLrsBdunl7R ( 640 X 640 ).jpg
 
Nawasiwasi kabla hajaondoka ataipandisha chato kuwa manispaa.
 
Hizi sarakasi ngoja tuone mwisho wake , Chanika ni Jiji , Mwenge, mikocheni , Masaki , oysterbay ni Manispaa !

Hii move ina malengo fulani ya hovyo sana lakini mahesabu yake wameyakosea mno !
Unaishi Tanzania?
 
Tusipotezeane muda na wala tusibishe kwa hili Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli yupo sahihi kwani Ilala ndiyo Dar es Salaam na Tanzania vile vile. Na hata Watoto wa Mjini wote wapo Ilala na siyo Kwingineko ambako kumejaa tu Washamba na Malofa watupu japo wenyewe ( wao ) wanajiona Wajanja.
Ilala iliyojaa mateja na mashoga kila baada ya nyumba moja, kawadanganye mandezi wenzio
 
Alichokifanya Rais wetu mh. Magufuri ni Cha kiutalaam na hii ndiyo tofauti ya Rais Magufuli na watangulizi wake.

Huwezi Kuwa na mamlaka inayokula posho na mishahara ambayo haiikusanyi bali inachagwa kutoka mamlaka zingine.

Hii imechelewesha maendeleo ya wanyonge kwa muda mrefu. Halimashauri ya jiji haikuwa na ardhi, zaidi ya kuwa na ofisi tu na c vinginevyo.

Kodi inakusanywa inakusanywa na Ilala, Kinondoni nk. Kwa kuwalipa wao. It is enough. Meya na mkurugenzi atafutiwe kazi ya kufanya na ikiwezekana ajiajili siyo kula vya wengine. Hongera Rais wetu mpendwa John P. Magufuli
 
Yaani Mkazi wa Osterbay, Masaki, Mikocheni na Mbezi Beach wanaishi Manispaa wakati wakazi wa Ulongoni, Gongolamboto, Buguruni kwa Mnyamani, Chanika wako Jiji la Dar😃😃 Tutaelewana tu hata kama itachukua muda ila mwishoni tutaelewana.

Mikumi Sasa siyo Mitano tena.
 
Ina maana Ilala itasimamia pia manispaa hizo nyingine ?
Hapa nimemuelewa rais alichofanya nikupunguza Gharama za uendeshaji wa iliyokuwa halmashauri ya jiji wakati wanaounda hilo jiji wapo hapahapa ilala ,kinondoni na temeke.

Amefanya vyema ilala inaweza ku handle shughuli zote za iliyokua halmashauri ya jiji. Wale wazamani mtakumbuka iliyokua tume ya keenja mambo hayakutofautiana sana na hili.
 
Back
Top Bottom