Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake


Unajidanganya. Mkuu. JPM anapendwa na sisi tunaotumia Euro [emoji387] kwa halali tunampenda sana. He knows what he wants. For him. Actions speak louder than cheap words written by people like you.
 

Bado nasisitiza rudi shule ukajifunze kuandika. Halafu kiongozi anayependwa huheshimu box la kura. Ukiona kiongozi yoyote ananajisi box la kura, huyo ni mlevi wa madaraka, na mara nyingi hutumia madaraka yake kutishia watu ili kuwatia hofu ili wajifanye wanampenda.
 
Well

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli tunampenda na tutaendelea kumpenda. Wewe unajiita Kibosho1. Waweza kuwa Mramba au hata Laswai. Tunafahamu mission yenu. We love the guy and we gonna add him another term late this year. Mmeze makokoto na wizi wenu. Kasungura siku hizi tunakagawana wote pamoja na udogo wake mazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujua akubaliki au anakubalika muulize dj anajua kule Hai wamesema asiwafanye mbuzi wa Christmas. Wapo na pamoja JPM
 
Utani tu hule do not take it seriously!
Mchagga mpe mke wako amsindikize atamfikisha mpaka nyumbani ila sio hela mama mamaaa ,mfano wazee wa Rombo hawana time na mademu wala wanawake wao ni kusaka pesa kula tungi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mngoni mpe hela atazifikisha ila sio mke babaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila utani huu una ukweli 95% kwa hiyo wachagga mtulie kwny utani wa kikabila msilete ukabila.
Wengi najua ni watoto wa 1990's hamjui km kuna mambo ya utani.
 
Jana aliongea maneno ya kipumbavu sana. Pia kuwatukana watendaji wakuu wa wizara hadharani tena ukipeleka matusi hayo kwa jamii ili iyapokee ni kiwango kikubwa cha ulimbukeni. Yani sijui kwanini Rais wa nchi unakuwa na mdomo mchafu kiasi kile!
Tatizo malezi
 
Fact
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niongee kitu ambacho kipo mitaani na mtazamo wa watu wengi ikiwemo Mimi, Rais Magufuli anapendea na anakubalika sana. Hapa nimetoa mtazamo, maoni na matarajio ya wengi lakini maoni ya wachache kama yako yaheshimiwe.
Ndiyo, yaheshimiwe kwa kuwateka na kuwapoteza!
 
Majambazi wengi wanatumia majina yenye asili ya kaskazini mfano yule Massawe!

Hii fear unaitoa wapi ndugu?

Deep down wachagga scare you the most

U worship them too much,na u wish uwe wao,huwezi hivyo ume resort into chuki

Change your DNA to a chagga if you can,Im sorry u cant!

U will die a miserable man!
 
tindo
Hebu tujiulize swali moja jepesi, hivi kuna mantiki yoyote kwa kiongozi anayependwa na wananchi wake, kuwa na ulinzi wa "kufuru" alio nao Rais wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…