Rais Magufuli alitaka kuiua CHADEMA, lakini alishindwa! Hakuna wa kuinunua wala kuiua CHADEMA

Nini maana ya kufa kwa chama cha siasa?
 
Kwa akili ya kawaida unaweza ukasema chadema bado iko hai? Bado inaweza kushindana katika chaguzi kama ilivyokuwa 2010 na 2015?
Na tayari chadema wana migogoro ya ndani kwa ndani kuliko ikivyokuwa kabla ya 2015.
 
Apo ulipo bado unaamini ile chadema ya miaka iyo ndo yasasa? Imeshakatwa mkia kitambo.

Chadema imebaki mtandaoni, Mtaani watu wameshaanza kuisahau
 
Kuweka kumbukumbu sahihi. Magufuli hakuwa na tamaa ya kuinunua CHADEMA bali alitangaza azma ya kukifuta hiki chama. Kabla hajafanikiwa akatangulia mwenyewe kufa, akaiacha CHADEMA na nguvu zilezile au zaidi.
 
Kwa akili ya kawaida unaweza ukasema chadema bado iko hai? Bado inaweza kushindana katika chaguzi kama ilivyokuwa 2010 na 2015?
Na tayari chadema wana migogoro ya ndani kwa ndani kuliko ikivyokuwa kabla ya 2015.
Endeleeni kuota na kuamini jiwe atafufuka kutoka huko kwa waliokwisha kufariki dunia
 
Sema badala ya kuiua Chadema akafa yeye
 
Chadema habari ingine Kaka.

Watu walipelekewa open cheki za BOT wajaze hela wanazotaka wakachagua kwenda Segerea unafikiri mchezo.

Wewe hapo cheki ya milioni tano tu utaitukana CCM.
Hizi hekaya ndio mbowe anavyowadanganya?
 
Mazungumzo yamepelekwa makao makuu ya CCM Idodomya.
 
Ni Kweli CDM ni chama chenye nguvu na kinatupeleka pazuri kama Nchi. Pia ni dhahiri hayupo wa KUKIUA, kitakufa chenyewe muda ukifika maana chenye MWANZO kina MWISHO.
 
Apo ulipo bado unaamini ile chadema ya miaka iyo ndo yasasa? Imeshakatwa mkia kitambo.

Chadema imebaki mtandaoni, Mtaani watu wameshaanza kuisahau
Ameshasahaulika jiwe,utasahaulika wewe Chadema itakuwepo.

Siku mkutano ya siasa ikiruhusiwa ndo mtajua hamjui.
Chadema ni Imani mkuu.
 
Magufuli kashindwa lakini mama ameweza tena bei chee kabisa, miezi 8 Mbowe aliyokaa jela ilitosha ku-sarender na kufutiwa mashtaka ingawa alikuwa na kesi ya kujibu, ndio mana alipochiwa tu break ya kwanza Ikulu, na sasaivi kila wiki Ikulu, chadema sasa naifananisha na TLP ya Mrema na Mbowe ni Mrema mwenyewe.

Ndio mana Mbowe juzi amediriki kusema chadema anataka kuifumua na kuisuka upya ili kina msingwa, tundu lissu, na Heche wasioamini kwenye udalali wataachwa nje

Watanzania bado wana safari ndefu sana kuiondoa ccm madarakani, baada Maalim seif watanzania walikuwa wanatupa jicho lao kwa chadema kama chama kikuu cha upinzani lakini sasa kinachotokea watanzania wengi hawaamini macho yao., Mbowe ambaye akiitwa mwamba sasa amekuwa kama pamba, ajenda ya katiba mpya hanayo tena, ni Ikulu na Ikulu na yeye.,
 
Chadema habari ingine Kaka.

Watu walipelekewa open cheki za BOT wajaze hela wanazotaka wakachagua kwenda Segerea unafikiri mchezo.

Wewe hapo cheki ya milioni tano tu utaitukana CCM.
Segerea muli-sarender baada ya miezi 8 tu, sasa Mbowe amefika mwenyekiti wa chama chenu, Tundu Lissu hana mdomo huko aliko, kina msingwa haamini macho yake jamaa alivyowasaliti na chama chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…