Rais Magufuli alitaka kuiua CHADEMA, lakini alishindwa! Hakuna wa kuinunua wala kuiua CHADEMA

ACT hivi na wanachama zaidi ya elfu Moja?
sasa ACT ndio angalau watanzania wanaweza elekea huko Chadema wamekubaliana bei ili Mbowe aachwe huru miezi 8 jela mwamba alikuwa hoi ikabidi aangushe majeshi, sasa saa 24 anashinda Ikulu
 
Kifupi wanajitekenya na kujichekesha kwani Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wana akili kubwa. Endeleeni kupuyanga umbea lakini usiku mtalala.
[emoji1533][emoji1534]
 
Lile Li gia lililopigwa Angani La Lowasa ambalo lilififisha kbs moyo wa upinzani kwa waTz ulikuwa bado hujazaliwa?
Aaah lilififisha upinzani kwa Kura million 6?? Na Halmshauri 30?? Yaani 42% ya waTanzania walipiga upinzani alafu unasema upinzani ulikufa?? Hivi kama Tume ingekua huru unadhani JPM angeingia ikulu?

Get serious, Lowassa alikua asset ule uchaguzi Hilo lipo wazi kabisa.
 
Ilikufaje? Indicator ni ipi? Kama shida ni Lowassa kivipi uchaguzi ule tukapata 42%!! In fact kwa Dr.Slaa kwenyewe tulibeba Jimbo na Halmashauri nzima sasa unaposema tulianguka sababu ya Lowassa indicator ni ipi??

Okay utasema 2020!! Kama issue ni CHADEMA kuanguka 2020 vipi ACT nao ni sababu ya Lowassa? CUF kupotea ni sababu ya Lowassa? Hiyo inakupa picha kwamba uchaguzi haukuwa huru otherwise tungepata zaidi ya 40% ya kura za wananchi.
 
We tu ndo hupati fungu, CHADEMA inanunulika, rejea uchaguzi wa 2015 yule mgombea aliinunua tena bei sawa na bure. Inwwezekana vipi mwizi uliyempiga vita ukamuachia mamlaka ya kuendesha akaunti yako?
 
Chadema kina mbunge mmoja
CUF na ACT vipi?? Nlidhani CHADEMA ikipata mbunge mmoja kuna wapinzani wamegain kumbe hakuna!! Ina maanisha kura za upinzani zipo intact kwa CHADEMA na 2025 zinaenda kuvunwa. Mind you CHADEMA ilipewa na NEC kura Million 2 majimboni Cha kushangaza wagombea ubunge Wana kura million 2 ila ACT yenye kura chini ya laki 1 eti Ina wabunge 5 hahahahha.
 
We tu ndo hupati fungu, CHADEMA inanunulika, rejea uchaguzi wa 2015 yule mgombea aliinunua tena bei sawa na bure. Inwwezekana vipi mwizi uliyempiga vita ukamuachia mamlaka ya kuendesha akaunti yako?
Imenunuliwaje wakati ni Mbowe ndio alimu approach Lowassa!!? sababu wote walikua na common enemy. Hata JPM tu alisema wapinzani tunatumika na mabeberu Cha kushangaza kina Silinde, Mashinji, Shonza, Mwampamba, Kitila n.k walipohamia CCM wakapewa nafasi za juu serikalini!! Mpaka unajiuliza kama wanatumika na mabeberu wakiwa CHADEMA sasa kuwaleta serikalini kabisa hauoni ndio nchi itauzwa??

Politics is a game of numbers, ukiteka vifaru vya adui unavitumia kutafuta ushindi na hii ipo kote hata Odinga ameshirikiana na Uhuru Kenyatta sababu kuu ni wote hawapatani na Ruto!! So common enemy united CHADEMA with Lowassa nothing more nothing less
 
Hebu elezea vizuri hapa kwenye asilimia 42, halmashauri 30 na kama gepu lilikuwa kura milioni 6 ni nyingi sana zaidi ya wakaz wa DSM nzima
 
Ko mlitaka mwizi mliyemshika ndo awe mkuu wa nchi ili aibe awezavyo siyo. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ko mlitaka mwizi mliyemshika ndo awe mkuu wa nchi ili aibe awezavyo siyo. πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani huko CCM kuna nani msafi mkuu? We all know Lowassa angekua one term president mamlaka yote yangekua kwa Mbowe. Nchi inaongozwa kwa katiba sio wezi, hivi kweli Lissu awe waziri wa Katiba na Sheria alafu fisadi angejulikana amuache? Get serious.
 
Hebu elezea vizuri hapa kwenye asilimia 42, halmashauri 30 na kama gepu lilikuwa kura milioni 6 ni nyingi sana zaidi ya wakaz wa DSM nzima
JPM mlimpa kura 8 M na Lowassa akapewa 6 M na wapinzani wengine wakaokoteza laki kadhaa. so JPM alituzidi chini ya kura million 2 ambazo nazo ni za wizi tu.

Kama Lowassa angekataliwa je angepataje hizo 40% za kura yaani ilibakia 10% pekee atangazwe Rais. So tuache hizi kelele kuwa Lowassa aliua upinzani they don't make sense.
 
Kwani huko CCM kuna nani msafi mkuu? We all know Lowassa angekua one term president mamlaka yote yangekua kwa Mbowe. Nchi inaongozwa kwa katiba sio wezi, hivi kweli Lissu awe waziri wa Katiba na Sheria alafu fisadi angejulikana amuache? Get serious.
Fisadi angekuwa alomteua lissu hivyo asingeweza kumgusa mwizi mkuu na katiba mshasema haiko sawa. Hapo mlizingua kumsimamisha mwizi mkuu πŸ˜€
 
Hzo 6 mil. Ni za wale maccm majizi pia na syo wanachi wa upinzani tu na yalitaka mwizi mwenzao apite ili wakapige vizuri. Mungu muweza wa yote akasema namptisha asiyefahamika kwa wezi.
 
Fisadi angekuwa alomteua lissu hivyo asingeweza kumgusa mwizi mkuu na katiba mshasema haiko sawa. Hapo mlizingua kumsimamisha mwizi mkuu πŸ˜€
Lissu ange deal na Lowassa wa nini? Mfano pesa imeibiwa Halmashauri sasa hapo usichukue hatua kisa nini? sio Kila ufisadi lazima uwe na baraka za Rais!! hata kipindi Cha JPM watu waliiba sana na ripoti za CAG zilionyeshwa hivyo ila unataka kukiri kuwa JPM aliwaruhusu??

Rais kuwa fisadi or not unaweza ukawa muadilifu hata kule Kenya Waziri Martha Karua alikua mkali kwa mafisadi ilihali nchi ilikua chini ya Wakikuyu majizi!! so hizo excuses za wanasiasa kuepuka lawama.

So Whether Rais angekua Lowassa or nani, CHADEMA kinge stick to it's principles zilizoipa heshima. In fact katiba mpya ingeshakua in place na uwajibikaji ungekua juu
 
Hzo 6 mil. Ni za wale maccm majizi pia na syo wanachi wa upinzani tu na yalitaka mwizi mwenzao apite ili wakapige vizuri. Mungu muweza wa yote akasema namptisha asiyefahamika kwa wezi.
Kwahiyo Tanzania Ina mafisadi Million 6? 🀣🀣🀣🀣, Umetisha sana mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…