Rais Magufuli alitaka kuiua CHADEMA, lakini alishindwa! Hakuna wa kuinunua wala kuiua CHADEMA

Mkimsimamisha awam ijayo mnaweza kutoboa kwa upepo ulivyo mtaan
 
Act lazima iwe na wabunge wengi ,sababu ina ngome zake Zanzibar ambako Chadema Haina nguvu Wala ushawishi wowote,

Ni sawa na CUF ilikuwa inapata wabunge wengi zenji

Sasa Leo unashangaa nn ACT kuvuna wabunge wengi kuliko Chadema, ?
 
Ukweli Ni kwamba Chadema ilipataga kura nyingi zile mil 6 sababu ya Lowassa ,

Mm nafamilia yangu karibu wote tulimpigiaga Lowassa despite sio wanachadema

Hata pale Iringa, Msigwa alipitaga na upepo wa CCM kogombana ,mara ya pili akapita na upepo wa Lowassa,

Chadema ina nguvu maeneo machache Sana hapa TZ ,

Hata huko mijin wanapodai Wana nguvu sikweli, Hapo Dar na mwanza hizo Ni ngome za CCM miaka yote
 
Wewe unaiona CDM kweli, ukikaa unaiona?.

Imeshaelekea uelekeo wa TLP - tayari.

Umoja Party ndio mkombozi wa wanyonge.
 
Uwe unasoma vitu kabla ya kutoa comment, wapi nimeandika mlianguka sababu ya Lowasa wakati mzee huyu aliwasaidia kushinda wabunge wengi. Shida ipo kwenye tabia yenu ya kusingizia na kuzushia watu mambo kisa hawako upande wenu kisha wakija kwenu wanakuwa wasafi huu unafiki ndio umewamaliza hivyo watu makini hawezi kuwa na imani na nyie kama mwanzo amini nakuambia.

Na kwa tabia hii inaonesha hata JPM mlimchukia kisa hakua kwenu ila angekuwa kwenu mngesema hajawahi kutokea rais kama yeye refer Lowasa. Hii tabia Mungu hapendi.
 
mbona sasa hivi mbowe ndiyo anaiua mwenyewe huoni?
 
-Mikoa ambayo inakubalika Sana ni CHADEMA ni Arusha, DAR,Mara,Mbeya,Mwanza,Morogoro,Manyara,Lindi,Iringa,Songwe,Kagera, Kilimanjaro,Mtwara,Shinyanga,Simiyu,
 
-Mikoa ambayo inakubalika Sana ni CHADEMA ni Arusha, DAR,Mara,Mbeya,Mwanza,Morogoro,Manyara,Lindi,Iringa,Songwe,Kagera, Kilimanjaro,Mtwara,Shinyanga,Simiyu,
Kwann huwa mnajidanganya
 
Mbona Mbowe alisema siku anampokea kwamba ukiwa CCM tulikupiga mabomu ila sasa umehamia upinzani tunashirikiana kumng'oa common enemy. So hakuna ndimi mbili ila kwenye siasa na uongozi lazima uwe flexible unapotaka kufikia malengo hata Mungu kwenye Biblia alimtumia kahaba kuokoa majasusi wa kiyahudi kule Yeriko ilihali Biblia hiyo hiyo inasema Giza na Nuru havichangamaniki. Ila kwa kuwa wote walikua na common enemy ndio maana wayahudi wakashirikiana na mmoja wa maadui zao ambaye ni kahaba Ili kufikia lengo kuu la kuangusha Yeriko.

Unless hausomi maandiko ila Biblia nzima hakuna mahala msimamo ulikua ni ule ule Bali kuna flexibility nyingi tu zilifanyika Ili kusudi la MUNGU lifikiwe. Mfano Samuel kumfikishia ujumbe Sauli kupitia MCHAWI!! nabii Hosea kupewa mke KAHABA!! n.k
 
Haupo serious serikali za mitaa mlikua na Miata/Vijiji/Vitongoji 99% mwaka 2009 ila mkashushwa hadi 60+% 2014!!! Ina maana zaidi ya mitaa na vijiji 30+% vilikua na Imani na upinzani 2014 na ninaamini 2019 tungezoea zaidi ya 40% sasa hiyo 2014 Lowassa alikuwepo??

Mwaka 2010 CCM ikipata 62% na upinzani 38% na hapo sababu tulisimama Kila mtu kivyake ila 2015 Lowassa alipata 40% means 2% increase!!! So aliongeza ila sio kwamba upinzani ulikua una Zero hapana tulikua na 40% yeye aliongeza zilizobaki na kama sio NEC JPM asingeingia Ikulu.

Politics is a game of numbers my friend!! 2025 utaelewa hii statement mtakapotafuta kura za Samia wakati huku Bara Hana mtaji na Zenji kuna wapiga kura sawa na Jimbo la Mbagala!!
 
Act lazima iwe na wabunge wengi ,sababu ina ngome zake Zanzibar ambako Chadema Haina nguvu Wala ushawishi wowote,

Ni sawa na CUF ilikuwa inapata wabunge wengi zenji

Sasa Leo unashangaa nn ACT kuvuna wabunge wengi kuliko Chadema, ?
Nakufundisha kwamba wingi wa wabunge sio ushawishi wa chama. ACT Ina wabunge 5 ila Wana kura chini ya elfu 50 combined!! CHADEMA kwenye kura za wabunge Ina zaidi ya 2.5 Million!! Sasa hapo chama Gani ni kikubwa??

Kura za wagombea wote wa ACT hazifiki kura za Halima Mdee alizopata Kawe 2020!! Alafu ndio useme eti CHADEMA ni chama kidogo kisa kina mbunge mmoja!! Get serious
 
Hata Wasira na Ndugai waliwahi kuwa na ndoto hizo, sijui gps inasema wako wapi sasa hivi wakati CHADEMA ina program za mazunguzo na Ikulu sasa hivi!
 
Ila Mungu alimpenda zaidi mwendazake ndo maana alimchukua mapema kabla hajaoa kabisa upinzani.
 
Kifo ndio njia pekee ya kufika mbinguni u kumfikia Mungu labda mwenzetu utakwenda kwa gari.
Kabla hujaenda huko ulikuwa unafanya nini duniani, kama ulikuwa muuaji, mwizi na muongo kama Jiwe basi jua utapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…