Rais Magufuli alivyovuruga Uhusiano na Wadau wa Maendeleo

Umetumwa na wanaume zako au unatafuta ukimbizi wa kisiasa kama wenzio.
Nenda tu, si lazima uanze na maudhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ukimbizi wa siasa, ukisoma makini hilo andiko utagundua najaribu kumsaidia Rais abadilike, ningekua simtakii mema nisingetoa ma ushauri... kuna baadhi ya vitu nimeandika ninauhakika hata yy labda alikua hajui... hao TISS wakamjulishe
 

Kama kweli ni wadau wa maendeleo kwanini tunaliwa umaskini? Ni wadau wa kimaendeleo kivipi, kwa vyandarua vya mbu?
 

Brother for your information WB does not and will not finance Ubungo project, WB withdrew from financing the project after what happened in Kimara and Mbezi. Jaribu kugoogle uone miradi inayofadhiliwa na WB.
 
Tanzania itakuwa kama ulaya,rais kasema hivo
 
Abadilike kwa faida ya nani?
Umewahi kufanya kazi na hawa jamaa au unajisemea tuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Brother for your information WB does not and will not finance Ubungo project, WB withdrew from financing the project after what happened in Kimara and Mbezi. Jaribu kugoogle uone miradi inayofadhiliwa na WB.
Mimi nafanya kazi na Kampuni inayojenga huo mradi- the China Civil Engeneering Corporation... na najua hela zinatoka wapi sa sijui unabisha nini.... WB withdrew feom Financing the 4 way morogoro road na ni kwasababu ya ile situation ya kimara... ila interchange bado wanafinance vizuri tu
 

Mbona nikigoogle siuoni huo mradi? Naona mingine
 
Mmh!!! Hapo ndio umekosea kabisaaaa ... Yaani ukiwaelezea kwa mifano ya namba afu namba zenyewe umechanganya na asilimia ile ya ivi % ... Da!!! Hapo ndio hawakuelewi kabisaaa wao wameng'ang'ana na SGR tu ...

Ni zile Nyuzi zao za kumsifia jiwe ... utawaona wanachongoa midomo Kama chuchunge, Kwenye nyuzi za ki-Great Thinkers kama hizi huwaoni na wakija hawana jipya zaidi ya kujitetea na SGR hali ya kua hawajui hiyo SGR inawakamua kea kiasi gani ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je watanzania waliendelea baada ya kupewa hiyo misaada? Ili tuendelee inabidi tuwe "sooooooooooo broke" ili akili ije tujitegemee kwa kodi zetu kama walio endelea - waliokuwa wanatupa hiyo misaada. Misaada inadumaza. Hatuitaki. Afadhali kukopa.
 
Hiyo recommendation ya kwanza, good luck with that. Nani atamfunga paka kengele?
 
mkuu nimekuelewa vema,hapo umesema kiswahili sio kizuri,ila umeeleweka,kama wabunge wangesoma uzi huu pamoja na hao waliopo madarakani hakika tusingekua katika hali hii,mtamkumbuka sana jk kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yaani katika watu ambao wamekaa nje kwa mda mrefu mpaka wana sahau kiswahili kama ulivyodai, basi wewe ni mtanzania wa kwanza ambaye amewahi kuandika upuuzi usio semeka ambao sijawahi kuusikia. Yaani kukaa kote huko Amerika umeshindwa kupata exposure kiasi kwamba unaandika madudu humu kama mtu ambaye hata Msumbiji hajafika?

Inasikitisha sana na nimekuwa very very disappointed. Yaani kuishi kote nje bado unatumia neno msaada. Yaani unaona ufahari kuwa na uhusiano mzuri na wazungu kwa ajili ya misaada?

Haya naomba nitolee list ya maendeleo ambayo hiyo misaada imefanya kwa watanzania. Una maanisha msaada ya wazungu ambao kwao ni jobless kuja kwetu kwa misingi ya kuwapatia kazi. Au una maanisha misaada ya NGOs ambao wanakuja Tanzania na Afrika kwa ujumla kuja kuishi maisha ya kifahari na kujiingiza katika sexual Business. Kuchezesha porno filams na dada zetu na shangazi zetu?

Ningekushauri kwa niaba ya watu ambao wamepata elimu nje na kufanya kazi nje kwa mda mrefu, watu ambao wameyaelewa maisha na dhamira za wazungu, kufutilia mbali hoja yako. Inatudhalilisha sisi tulio pata exposure. Kwa mtu anaye wajua wazungu kwa jinsi walivyo kuwa the Killing machines nisinge tegemea niger kama wewe kuwasifu kiasi hicho na kuwaona wao ndiyo kila kitu. Yaani bila wao hakuna kitu kinawezekana.

Jiamini kijana usiwe na mchecheto wa kukata tamaa ya maisha na kuji positon wewe mwenyewe katika kundi la watu ambao wako inferior. Kuto jiamini kwako ndiyo kitu ambacho kinawapa wao nguvu na kujiona kuwa wao ni Superior. Nakuomba usiruhusu mambo kama hayo.

Sasa kama wewe ambaye umeishi na wazungu na kuyajua maisha yao unakuwa mwoga na kuwababaikia wazungu kiasi hicho sasa yule mtanzania ambaye hajawajua wazungu na mifumo yao ya kutaka kuwa na control over our lives atafanya nini?

Nitarudi tena!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuombe Mungu atusaidie tusiwe kama Zimbabwe. Mugabe alianza kuwakashifu wazungu watu wake wakakiona cha moto na mpaka leo mambo siyo mazuri. Kuharibu is very simple lakin kujenga kilichoharibika inachukua mda mrefu.
 
Mtu wa kuhurumia sana ni Mahiga. Inabidi aende kupiga deki kila kulikochafuliwa na baba Jesica. Atafanya hii kazi mpaka lini? Mtoa mada kasema walienda ubergiji kupoza mambo ikashindikana. Iweje nchi ambayo miaka yote inategemea wafadhili ghafla bin vuu iwe na pesa za kujiendsha?? Hata mtoto aliyetumboni anajua ni uongo iwe chekecheka? Utoke nyumbani hatuna godoro la kulalia uje jioni eti nimenunua gari tena Benz? Meaning madege makubwa!
 
Suluhisho, Tufunge balozi zote za ulaya, marekani, Australia na New Zealand, Japan, South Korea maana hawa ndo wachangiaji wakubwa kwenye budget yetu na ndo wenye pesa, tubaki na wachina na wahindi. Itapendeza.
 
Kwa nchi kama Tanzania bila Development Partners hatufiki popote.
Rais amesema nchi yetu ni tajiri inapaswa kuwa doner country na amesema pesa tunazo hadi tunanunua ndege keshi! Miradi yote tunajenga kwa pesa ya ndani. Tuko katika lait tlak

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachojua Mimi ni MASLAI YAO yamebanwa. Hakuna wadau wa maendeleo hapo zaid ya WADAU WA UNYONYAJI.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…