Tena kubwa saba na ndiyo maana sitaki nchi yetu tuwategeme wazungu. Wazungu ni nani kwanza? Wao ni mungu? Nionyeshe kitu ambacho mzungu ameki gundua ambacho kina malengo ya kuwafanya binadam waishi kwa usalama na amani. Kwa taarifa yako mzungu yuko hatarini kujijengea Kabudi lake mwenyewe.
Ushahidi msikilize Askofu Ngwajima. Unamwona yeye mwenda wazimu sasa lakini kizazi cha baadae watayakumbuka maneno yake.
Wayahudi nao wali mkebei na kumsulubu Yesu, lakini sasa wanayaona yale ambayo Prophet wao aliwaonya. Lait wang emsikiliza yeye hivi sasa wangekuwa na amani ya milele.
Zaidi ya hayo mimi najiamini na ninauhakika tunaweza. Ilimu tunayo na maarifa pia, kinachokosekana ni ushujaa wa kuamua mambo mazito na kufanya kinachotakiwa kufanya.
Fine mkuu naomba maana ya Bank. Bank ni kitega uchumi kama kampuni yeyote ile ambayo ina afanya biashara. Kwa hiyo World Bank inapo toa hela haitoi kwa ajili ya kuipa nchi kama msaada bali ni mkopo ambao tunaurudisha kwa riba.
Umejiuliza kwa nini nchi za kiafrika ndizo zenye madeni makubwa zaidi kwenye World Bank kama huo ni msaada?
Nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania au Kongo hatustahili kuwa nchi tegemezi na wala hatuhitaji mikopo ya World Bank wakati tuna weza uza dhahabu na almasi zetu.
Wewe kama ungekuwa unauwezo wa kutoa hoja nzuri basi nategemea unaweza tambua tofauti kati ya msaada na mkopo. Wewe unafikiri duniania kuna nchi ambazo zinatoa tu misaada bure bila wao kunufaika. Ebu jiulize kwa nini sisi wapokeaji wa misaada hatuendelei lakini watoaji wanazidi kuendelea? Ukijua hilo nafikiri ndiyo utajua nani anajua kutoa hoja nzuri.
Sent using
Jamii Forums mobile app