Rais Magufuli alivyovuruga Uhusiano na Wadau wa Maendeleo

Rais Magufuli alivyovuruga Uhusiano na Wadau wa Maendeleo

Wakikupa shilingi 100 hao wadau wa maendeleo unaowasema kisha ukalipa mishahara watu wao wanaokuja kwa majina ya expert 60% ya hiyo 100 kisha wakafanya manunuzi kwa hiyo hiyo 100 tena vifaa toka zilikotoka 30& na kisha ukawapa misamaha ya kodi kwa bidhaa zao zinazoingia hapa ndani utabaki na nini? Ni bora kubaki hauna ukajua hauna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kijiwe chenu ka navyowapumbaza pumba hizo? World bank au USAID wana experts wanaochukua 60%, hivi umewahi kuwaza ARV tuu inacost kiasi gani?

Katika ujenzi wa mfugale flyover kulikuwa na wajapani wangapi? Pathetic!
 
wewe unataka ubaki na hela? au miradi ya maendeleo wanyoleta?, kama wanatujengea shule nzuri wakanunua cement, nondo, madawati na chaki kutoka italia,unajali nini, shule si inakuwa yakwetu?!?, tufanye mambo mengine kupata pesa,tulime kisasa, tuchimbe dhahabu na madini mengine kwa tija,tuvune misitu yetu kwa tija n.k.Ulaya mashariki inajengwa hivyo wanajenga viwanda na mashule hukuhuko,ili kupunguza utegemezi mkubwa kwao.Wajameni dunia ya sasa inaangalia uchumi zaidi hasa uchumi kwa watu wako!. Siasa za kusema mabeberu zishapitwa na wakati, na zaidi ya yote bado tunawahitaji sana tena sana hawa wabia wa maendeleo, tusijidangaye.look at Zimbabwe,Burundi,Iran, North Korea
 
Wakikupa shilingi 100 hao wadau wa maendeleo unaowasema kisha ukalipa mishahara watu wao wanaokuja kwa majina ya expert 60% ya hiyo 100 kisha wakafanya manunuzi kwa hiyo hiyo 100 tena vifaa toka zilikotoka 30& na kisha ukawapa misamaha ya kodi kwa bidhaa zao zinazoingia hapa ndani utabaki na nini? Ni bora kubaki hauna ukajua hauna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Nyangomboli. Ashasembeko and these other boys think there is free lunch! Hawa jamaa, wadau wenu wa hata siku moja hawataki ku-negotiate na nchi changa badala yake hutumia fimbo ya misaada na mikopo kuimarisha uchumi wao. Wataleta makampuni yao, wataleta 'wataalam' wao, wataleta bidhaa zao kisha taifa changa linapewa mkopo wenye masharti ya ku-facilitate uchumi wa hao mnaowaita wadau wa maendeleo. Pathetic! Tumepoteza miaka 30 tunachezeshwa ukuti ukuti na hawa jamaa. Thanks JPM Tanzania is now redefining its own destine.
 
Ndio kijiwe chenu ka navyowapumbaza pumba hizo? World bank au USAID wana experts wanaochukua 60%, hivi umewahi kuwaza ARV tuu inacost kiasi gani?

Katika ujenzi wa mfugale flyover kulikuwa na wajapani wangapi? Pathetic!
It seems your knowledge about global political economy is low and very limited. WB ina dollar kiasi gani kwenye coffers zake na ziko wapi/nchi gani? BWIs ni washenga/makuwadi tu wa ku-negotiate policy - fiscal, monetary, trade kwa ajili ya, na kuzingatia matakwa ya sera za mabeberu wa EU au US. Sijui iwapo unajua kuwa 1997-1998 WB ili-negotiate MDAs kwa niaba ya makampuni ya kuchimba dhahabu na kisha kuilazimisha serikali ya Mkapa kukubali terms walizopendekeza, ikiwa ni pamoja na ku-peg bei ya dhahabu kwa USD260 per trolley ounce, na ku-repatriate proceeds of sale from gold [output]. Tulipata nini bei ya dhahabu ilipopanda hadi kufikia USD1300? Hata kwa hivyo vyandarua na ARVs unadhani vinatolewa bure? No thanks. The money pooled in the Global Fund for HIV/AIDS, TB and Malaria is paid back to the Fund contributors through rear doors (manufacturing companies of medicines and equipment), which creates jobs in those donor countries. There is no free lunch gentleman.
 
Usiogope, nchi hii inaweza kuwadonor country soon haswa baada ya kulijenga hilo bwawa kubwa sana la Stigla's goji. Tutakuwa na umeme mwingi kiasi cha kuwauzia nchi zote za EAC na Sadec hadi Africa Kusini. Tutapata mapesa mengi hadi wazungu mabeberu waje kutukopa badala ya kwenda kuomba China iwasaidie. Msiogope; We are riding toward the laiti pathi
Kuna nchi gan ambayo wamekutangazia wanataka kununua umeme, ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
it seems you knowledge about global political economy is very limited. WB ina dollar kiasi gani kwenye coffers zake na ziko wapi/nchi gani? BWIs ni washenga tu wa ku-negotiate policy - fiscal, monetary, trade kwa kuzingatia/wakiongozwa (major constraints) na matakwa ya sera za EU na US. Sijui iwpo unajua kuwa 1997 WB ili-negotiate MDAs kwa niaba ya makampuni ya dhahabu na kuilazimisha serikali ya Mkapa kukubali terms, ikiwa ni pamoja na ku-peg bei ya dhahabu kwa USD260 per trolley ounce, na repatriation of gold sales[proceeds]. Tulipata nini bei ya dhahabu ilipopanda hadi kufikia USD1300? hata kwa hivyo vyandarua na ARVs unadhani vinatolewa bure? No thanks. The money pooled in the Global Fund for HIV/AIDS, TB and Malaria is paid back to contributors through rear doors (manufacturing companies, equipment), which creates jobs in the donor countries.
Don't blame others for your own stupidity, mlivyokuwa mnaingia mikataba alikuwa vipofu? Maana hata vipofu wanalugha zao za vidoti hawakubarigi ujinga.

Those are round politics, and we ain't gonna term ourselves smart while we cannot justify our destiny!

Kwahiyo unahisi world bank wanatunyonya kwa hiyo 60% yenu? And in the first place why go borrow to someone who is gonna hurt you! Hapo ndipo sisi watu weusi tunapofail kila siku, everyday throwing blames to someone with your own fault!
 
Kwa nchi kama Tanzania bila Development Partners hatufiki popote.
Hao DPs waliwahi kuendeleza nchi gani? Si wamejaa Congo (zote), Malawi, CAR, Tchad, Niger na kwingineko? DPs nao ni economic migrants tofauti zao na migrants wavukao Mediterranean sea (north Africa) kwenda ulaya ni kuwa the latter category are not organised while the former operate intricately.
 
Don't blame others for your own stupidity, mlivyokuwa mnaingia mikataba alikuwa vipofu? Maana hata vipofu wanalugha zao za vidoti hawakubarigi ujinga.

Those are round politics, and we ain't gonna term ourselves smart while we cannot justify our destiny!

Kwahiyo unahisi world bank wanatunyonya kwa hiyo 60% yenu? And in the first place why go borrow to someone who is gonna hurt you! Hapo ndipo sisi watu weusi tunapofail kila siku, everyday throwing blames to someone with your own fault!
Inaelekea wewe umedandia train kwa mbele. WB does nothing of its own and in isolation as institution but it is there to serve interests of global economic architecture, purposefully designed to sustain imperialist powers. They had had enough conspiracy against Tanzania just like they did in many other countries. Our government has lately notwithstanding, realised that bad imperialists' policy intention and as way of response, it has marshalled out available capacity to backtrack imperialist policy. So why should you complain against Government policy response while as well complain being dissatisfied with imperialists' intricate thieving?

The best policy response for Tanzanians is to work diligently, basi.
 
it seems you knowledge about global political economy is very limited. WB ina dollar kiasi gani kwenye coffers zake na ziko wapi/nchi gani? BWIs ni washenga tu wa ku-negotiate policy - fiscal, monetary, trade kwa kuzingatia/wakiongozwa (major constraints) na matakwa ya sera za EU na US. Sijui iwpo unajua kuwa 1997 WB ili-negotiate MDAs kwa niaba ya makampuni ya dhahabu na kuilazimisha serikali ya Mkapa kukubali terms, ikiwa ni pamoja na ku-peg bei ya dhahabu kwa USD260 per trolley ounce, na repatriation of gold sales[proceeds]. Tulipata nini bei ya dhahabu ilipopanda hadi kufikia USD1300? hata kwa hivyo vyandarua na ARVs unadhani vinatolewa bure? No thanks. The money pooled in the Global Fund for HIV/AIDS, TB and Malaria is paid back to contributors through rear doors (manufacturing companies, equipment), which creates jobs in the donor countries.
Ok very good explanation, but what is the way forward?!, unadhani tukiendelea kubishana nao kupitia majukwaani,calling names,etc itatusaidia?.Kumbuka Nyerere for many years alibishana na alikaa nao mezani mara nyingi akishikilia msimamo wake, mpaka ikafika mahali akaona hakuna namna na nchi ina hali mbaya mzee wetu akaamua kung'atuka akaiacha serikali ikubaliane nao akaenda southsouth commision. Naamini kutumia njia ya kiburi tu ni kujiumiza wenyewe, USSR was strong and very strong but eventually she bowed!.Tutumie njia za kidplomasia zaidi, maana hata kama tuna dhahabu, tuna alimasi, tuna gesi, tuna kahawa, tuna pamba tuna kila kitu mwisho wa siku soko letu ni wao,kumbuka katani yetu na pamba how they collapsed. Ni kweli ni wanyonyaji hawa, lakini tunao uwezo wa kupingana nao?!? na kuwakatalia?!?. GHAGAFI na SADAMU walijaribu, lakini walikuwa na bidhaa yenye soko la tayaritayari ila kilichowapata unakijua. Iran anang'ang'ana, Zimbabwe ndio hiyoo unaiona!
 
Rais anakosa THE RIGHT APPROACH. Barabara, SGR nk, tunazihitaji Ila uhai wetu wote kama taifa ni muhimu zaidi ya hayo mareli na mandege.
Mtazamo wa kisiasa alionao pamoja na wa chini yake sio sahihi. Kudhani kuwa unaweza kukandamiza watu kisa tu unajenga reli au miundombinu yoyote ni approach mbaya sana
 
it seems you knowledge about global political economy is very limited. WB ina dollar kiasi gani kwenye coffers zake na ziko wapi/nchi gani? BWIs ni washenga tu wa ku-negotiate policy - fiscal, monetary, trade kwa kuzingatia/wakiongozwa (major constraints) na matakwa ya sera za EU na US. Sijui iwpo unajua kuwa 1997 WB ili-negotiate MDAs kwa niaba ya makampuni ya dhahabu na kuilazimisha serikali ya Mkapa kukubali terms, ikiwa ni pamoja na ku-peg bei ya dhahabu kwa USD260 per trolley ounce, na repatriation of gold sales[proceeds]. Tulipata nini bei ya dhahabu ilipopanda hadi kufikia USD1300? hata kwa hivyo vyandarua na ARVs unadhani vinatolewa bure? No thanks. The money pooled in the Global Fund for HIV/AIDS, TB and Malaria is paid back to the Fund contributors through rear doors (manufacturing companies, equipment), which creates jobs in the donor countries.
Huwa napata shida kuelewa kiwango cha elimu cha mtu anakwambia Tunapewa ARV au Condoms bure. Hakuna kitu kinaitwa Bure au msaada kutoka Nchi za Magharibi.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Kweli kabisa.. afu unaona kuna watu wanasema eti hatuwahitaji.. [emoji2951]
TANGU ULIPOPATA UHURU 1961 UMENUFAIKA NA NINI HASA KIUCHUMI KWA KUWAHITAJI NA KUWATEGEMEA???

USIFIKIRI WAZUNGU NI MATAIRA WASHINDWE KUJIIMARISHIA WENYEWE UCHUMI WAO KWA KUANGALIA FUTURE YA MATAIFA YAO, AJE AKUHANGAIKIE WEWE MWAFRIKA ANAYENUFAIKA NA WEWE KWA KUKUNYONYA RASILIMALI ZAKO KAMA;

*MADINI YAKO,

*GESI YAKO,

*MAFUTA YAKO,

*NDOVU, NGOZI,

WAKATI HUO HUO ANAKUPANGIA BEI KULE "UN" KUPITIA "VETO POWER" AMBAPO WEWE HUNA MAAMUZI YOYOTE ZAIDI YA KUTII MPENZI MSIKILIZAJI TU NA KUTII ORDER YOYOTE UTAYOPEWA TOKA KWAO.

*79% YA MADINI ANACHOTA YEYE KWA MIKATABA KANDAMIZI YA UCHIMBAJI ZAIDI YA MIAKA 100 IJAYO, KUMBUKA WAKATI HUO WOTE WEWE NA MMESHAKUFA ZAIDI YA KUENDELEA KUNYANYASIKA KIZAZI CHAKO TU HADI MKATABA UFE.

*KUKUTENGENEZEA BIDHAA AMBAZO ANAKUPANGIA BEI ZA JUU KUZINUNUA KWAKE KAMA CHUMA, MAGARI N. K TENA KUPITIA MADINI YAKO HAYO HAYO ALIYOKUNYONYA KTK UCHIMBAJI.

*KUKUUNDIA MIUNDOMBINU FEKI ISIYOKUWA NA TIJA KWAKO KWA KUHAKIKISHA KESHO TENA UTARUDI KWAKE AKUREKEBISHIE, MFANO MZURI NI MIRADI YA UMEME TOKA U. S. A TANGU NA TANGU MPAKA SASA HAKUNA LOLOTE JIPYA ZAIDI YA MGAWO WA UMEME TU.

KWANINI HAMJITAMBUI KAMA JPM?

ULISHAWAHI KUJIULIZA KWANINI NCHI ZA MAGHARIBI ZIKUPIGE VITA WEWE KUZALISHA UMEME WAKO WA "STIGLER GORGE"?

NCHI IPI ILIENDELEA KIUCHUMI KWA KUSAIDIWA NA NCHI NYINGINE BILA YA KUJITENGENEZEA MIUNDOMBINU YENYEWE?

HATA KAMA NI WEWE HOME KWAKO UTAACHAJE MJI WAKO UUNGUE NA MOTO WAKATI HUO HUO UNAENDA KUZIMA MOTO KWA JIRANI?

UNADHANI WAZUNGU HAWANA SHIDA KTK NCHI ZAO HADI AHANGAIKE KUKUIMARISHIA UCHUMI WAKO NAKATI KILA KUKICHA NCHI HUHITAJI MATUMIZI YAKE KIFEDHA ILI IJIIMARISHE KWA BAJETI TOKANA NA ONGEZEKO LA WATU(POPULATION PRESSURE) NA KUKUA KWA THAMANI YA PESA KILA MWAKA DUNIANI?

"JPM IS THE BEST PRESIDENT NEVER EVER HAPPENED IN TANZANIA, LET'S GIVE HIM MORE TIME TO REBUILD OUR NATIONAL TOWARDS MEDIUM ECONOMIC DEVELOPMENT COUNTRIES ALL OVER THE WORLD"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania iko kwenye Laiti traki! Venezuala hiyoo, Zimbabwe hiyooo!
Quo Vadis Tanzanie?!
 
Unajielewa kweli wewe? SGR awamu ya kwanza kwenda Dar mpaka Morogoro ndio inajegwa na serikali, awamu zengine wanakopa, Hiyo Ubungo Interchange ni mkopo kutoka benki ya dunia, na hata hiyo miradi mengine inakwama maana serikali imekosa hela, kwenye kuhamia Dodoma mbona Rais hajahamia na alisema kabla mwaka 2018 kuisha atakua ameshahamia?? Hizo

Unajielewa kweli wewe? SGR awamu ya kwanza kwenda Dar mpaka Morogoro ndio inajegwa na serikali, awamu zengine wanakopa, Hiyo Ubungo Interchange ni mkopo kutoka benki ya dunia, na hata hiyo miradi mengine inakwama maana serikali imekosa hela, kwenye kuhamia Dodoma mbona Rais hajahamia na alisema kabla mwaka 2018 kuisha atakua ameshahamia?? Waliohamia wanakaa kwenye majengo ya vyuo?? Unaongea nnn sasa?? Do your research kabla ya kuja kuargue?
Too much ego kiasi kwamba umeshindwa kumuelewa anae kuunga mkono hoja yako.
Ungejiandaa kupokea maoni tofauti ungeipa nafasi akili yako kutambua huyo alikuwa anafanya dhiaka kwa serikali na huyo unaemkosoa.

It was just a sarcasm. Sio kwamba yeye anaamini hivyo, kamnukuu mtu mkubwa.
 
Tanzania iko kwenye Laiti traki! Venezuala hiyoo, Zimbabwe hiyooo!
Quo Vadis Tanzanie?!
Kinacho endelea Venezuela ni zaidi ya unavyo yaelewa mataifa ya mabepari.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Rais anakosa THE RIGHT APPROACH. Barabara, SGR nk, tunazihitaji Ila uhai wetu wote kama taifa ni muhimu zaidi ya hayo mareli na mandege.
Mtazamo wa kisiasa alionao pamoja na wa chini yake sio sahihi. Kudhani kuwa unaweza kukandamiza watu kisa tu unajenga reli au miundombinu yoyote ni approach mbaya sana
Hivi ni lini JPM amezuia watu/Watanzania kufanya kazi - kulima, kuwekeza, kusindika bidhaa, kujenga, kutoa huduma za kitaalam, kutafiti bidhaa, kusindika bidhaa mpya pamoja na masoko yake? Let us be fair to the President. Wakulima wa korosho si wanauza korosho zao? Pamba je? Kahawa je? Pareto je? Mahidi je? ni bidhaa ipi imezalishwa ikakosa soko au serikali ikaizuia isipelekwe sokoni? Tunapenda kuhamisha, pengine madhara ya elimu ya jumla tuliyonayo, au pengine tulifurahia zaidi kukariri nadharia sasa tuko mitaani hatuna kitu tangible vichwani mwetu, badala ya kujitathmini tunadhani JPM anatuletea matatizo kwa kuanza kudhibiti njama wa wizi za mabeberu? Let's do our homework please.
 
Tatizo ni Jiwe.
Tuna raisi wa hovyo kweli.
Anajifanya mzalendo lakini maneno na matendo yake yanaiharibu nchi.
#JiweMustGo
 
Back
Top Bottom