Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,612
Usiwahusishe wananchi na upuuzi! Ni Lubuva na team yakeMmmh tulipenda pushups. Ngoja tukomae tutastuka tukiwa maiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwahusishe wananchi na upuuzi! Ni Lubuva na team yakeMmmh tulipenda pushups. Ngoja tukomae tutastuka tukiwa maiti
Ndio kijiwe chenu ka navyowapumbaza pumba hizo? World bank au USAID wana experts wanaochukua 60%, hivi umewahi kuwaza ARV tuu inacost kiasi gani?Wakikupa shilingi 100 hao wadau wa maendeleo unaowasema kisha ukalipa mishahara watu wao wanaokuja kwa majina ya expert 60% ya hiyo 100 kisha wakafanya manunuzi kwa hiyo hiyo 100 tena vifaa toka zilikotoka 30& na kisha ukawapa misamaha ya kodi kwa bidhaa zao zinazoingia hapa ndani utabaki na nini? Ni bora kubaki hauna ukajua hauna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Nyangomboli. Ashasembeko and these other boys think there is free lunch! Hawa jamaa, wadau wenu wa hata siku moja hawataki ku-negotiate na nchi changa badala yake hutumia fimbo ya misaada na mikopo kuimarisha uchumi wao. Wataleta makampuni yao, wataleta 'wataalam' wao, wataleta bidhaa zao kisha taifa changa linapewa mkopo wenye masharti ya ku-facilitate uchumi wa hao mnaowaita wadau wa maendeleo. Pathetic! Tumepoteza miaka 30 tunachezeshwa ukuti ukuti na hawa jamaa. Thanks JPM Tanzania is now redefining its own destine.Wakikupa shilingi 100 hao wadau wa maendeleo unaowasema kisha ukalipa mishahara watu wao wanaokuja kwa majina ya expert 60% ya hiyo 100 kisha wakafanya manunuzi kwa hiyo hiyo 100 tena vifaa toka zilikotoka 30& na kisha ukawapa misamaha ya kodi kwa bidhaa zao zinazoingia hapa ndani utabaki na nini? Ni bora kubaki hauna ukajua hauna.
Sent using Jamii Forums mobile app
It seems your knowledge about global political economy is low and very limited. WB ina dollar kiasi gani kwenye coffers zake na ziko wapi/nchi gani? BWIs ni washenga/makuwadi tu wa ku-negotiate policy - fiscal, monetary, trade kwa ajili ya, na kuzingatia matakwa ya sera za mabeberu wa EU au US. Sijui iwapo unajua kuwa 1997-1998 WB ili-negotiate MDAs kwa niaba ya makampuni ya kuchimba dhahabu na kisha kuilazimisha serikali ya Mkapa kukubali terms walizopendekeza, ikiwa ni pamoja na ku-peg bei ya dhahabu kwa USD260 per trolley ounce, na ku-repatriate proceeds of sale from gold [output]. Tulipata nini bei ya dhahabu ilipopanda hadi kufikia USD1300? Hata kwa hivyo vyandarua na ARVs unadhani vinatolewa bure? No thanks. The money pooled in the Global Fund for HIV/AIDS, TB and Malaria is paid back to the Fund contributors through rear doors (manufacturing companies of medicines and equipment), which creates jobs in those donor countries. There is no free lunch gentleman.Ndio kijiwe chenu ka navyowapumbaza pumba hizo? World bank au USAID wana experts wanaochukua 60%, hivi umewahi kuwaza ARV tuu inacost kiasi gani?
Katika ujenzi wa mfugale flyover kulikuwa na wajapani wangapi? Pathetic!
Kuna nchi gan ambayo wamekutangazia wanataka kununua umeme, ?Usiogope, nchi hii inaweza kuwadonor country soon haswa baada ya kulijenga hilo bwawa kubwa sana la Stigla's goji. Tutakuwa na umeme mwingi kiasi cha kuwauzia nchi zote za EAC na Sadec hadi Africa Kusini. Tutapata mapesa mengi hadi wazungu mabeberu waje kutukopa badala ya kwenda kuomba China iwasaidie. Msiogope; We are riding toward the laiti pathi
Don't blame others for your own stupidity, mlivyokuwa mnaingia mikataba alikuwa vipofu? Maana hata vipofu wanalugha zao za vidoti hawakubarigi ujinga.it seems you knowledge about global political economy is very limited. WB ina dollar kiasi gani kwenye coffers zake na ziko wapi/nchi gani? BWIs ni washenga tu wa ku-negotiate policy - fiscal, monetary, trade kwa kuzingatia/wakiongozwa (major constraints) na matakwa ya sera za EU na US. Sijui iwpo unajua kuwa 1997 WB ili-negotiate MDAs kwa niaba ya makampuni ya dhahabu na kuilazimisha serikali ya Mkapa kukubali terms, ikiwa ni pamoja na ku-peg bei ya dhahabu kwa USD260 per trolley ounce, na repatriation of gold sales[proceeds]. Tulipata nini bei ya dhahabu ilipopanda hadi kufikia USD1300? hata kwa hivyo vyandarua na ARVs unadhani vinatolewa bure? No thanks. The money pooled in the Global Fund for HIV/AIDS, TB and Malaria is paid back to contributors through rear doors (manufacturing companies, equipment), which creates jobs in the donor countries.
Hao DPs waliwahi kuendeleza nchi gani? Si wamejaa Congo (zote), Malawi, CAR, Tchad, Niger na kwingineko? DPs nao ni economic migrants tofauti zao na migrants wavukao Mediterranean sea (north Africa) kwenda ulaya ni kuwa the latter category are not organised while the former operate intricately.Kwa nchi kama Tanzania bila Development Partners hatufiki popote.
Inaelekea wewe umedandia train kwa mbele. WB does nothing of its own and in isolation as institution but it is there to serve interests of global economic architecture, purposefully designed to sustain imperialist powers. They had had enough conspiracy against Tanzania just like they did in many other countries. Our government has lately notwithstanding, realised that bad imperialists' policy intention and as way of response, it has marshalled out available capacity to backtrack imperialist policy. So why should you complain against Government policy response while as well complain being dissatisfied with imperialists' intricate thieving?Don't blame others for your own stupidity, mlivyokuwa mnaingia mikataba alikuwa vipofu? Maana hata vipofu wanalugha zao za vidoti hawakubarigi ujinga.
Those are round politics, and we ain't gonna term ourselves smart while we cannot justify our destiny!
Kwahiyo unahisi world bank wanatunyonya kwa hiyo 60% yenu? And in the first place why go borrow to someone who is gonna hurt you! Hapo ndipo sisi watu weusi tunapofail kila siku, everyday throwing blames to someone with your own fault!
Ok very good explanation, but what is the way forward?!, unadhani tukiendelea kubishana nao kupitia majukwaani,calling names,etc itatusaidia?.Kumbuka Nyerere for many years alibishana na alikaa nao mezani mara nyingi akishikilia msimamo wake, mpaka ikafika mahali akaona hakuna namna na nchi ina hali mbaya mzee wetu akaamua kung'atuka akaiacha serikali ikubaliane nao akaenda southsouth commision. Naamini kutumia njia ya kiburi tu ni kujiumiza wenyewe, USSR was strong and very strong but eventually she bowed!.Tutumie njia za kidplomasia zaidi, maana hata kama tuna dhahabu, tuna alimasi, tuna gesi, tuna kahawa, tuna pamba tuna kila kitu mwisho wa siku soko letu ni wao,kumbuka katani yetu na pamba how they collapsed. Ni kweli ni wanyonyaji hawa, lakini tunao uwezo wa kupingana nao?!? na kuwakatalia?!?. GHAGAFI na SADAMU walijaribu, lakini walikuwa na bidhaa yenye soko la tayaritayari ila kilichowapata unakijua. Iran anang'ang'ana, Zimbabwe ndio hiyoo unaiona!it seems you knowledge about global political economy is very limited. WB ina dollar kiasi gani kwenye coffers zake na ziko wapi/nchi gani? BWIs ni washenga tu wa ku-negotiate policy - fiscal, monetary, trade kwa kuzingatia/wakiongozwa (major constraints) na matakwa ya sera za EU na US. Sijui iwpo unajua kuwa 1997 WB ili-negotiate MDAs kwa niaba ya makampuni ya dhahabu na kuilazimisha serikali ya Mkapa kukubali terms, ikiwa ni pamoja na ku-peg bei ya dhahabu kwa USD260 per trolley ounce, na repatriation of gold sales[proceeds]. Tulipata nini bei ya dhahabu ilipopanda hadi kufikia USD1300? hata kwa hivyo vyandarua na ARVs unadhani vinatolewa bure? No thanks. The money pooled in the Global Fund for HIV/AIDS, TB and Malaria is paid back to contributors through rear doors (manufacturing companies, equipment), which creates jobs in the donor countries.
Huwa napata shida kuelewa kiwango cha elimu cha mtu anakwambia Tunapewa ARV au Condoms bure. Hakuna kitu kinaitwa Bure au msaada kutoka Nchi za Magharibi.it seems you knowledge about global political economy is very limited. WB ina dollar kiasi gani kwenye coffers zake na ziko wapi/nchi gani? BWIs ni washenga tu wa ku-negotiate policy - fiscal, monetary, trade kwa kuzingatia/wakiongozwa (major constraints) na matakwa ya sera za EU na US. Sijui iwpo unajua kuwa 1997 WB ili-negotiate MDAs kwa niaba ya makampuni ya dhahabu na kuilazimisha serikali ya Mkapa kukubali terms, ikiwa ni pamoja na ku-peg bei ya dhahabu kwa USD260 per trolley ounce, na repatriation of gold sales[proceeds]. Tulipata nini bei ya dhahabu ilipopanda hadi kufikia USD1300? hata kwa hivyo vyandarua na ARVs unadhani vinatolewa bure? No thanks. The money pooled in the Global Fund for HIV/AIDS, TB and Malaria is paid back to the Fund contributors through rear doors (manufacturing companies, equipment), which creates jobs in the donor countries.
TANGU ULIPOPATA UHURU 1961 UMENUFAIKA NA NINI HASA KIUCHUMI KWA KUWAHITAJI NA KUWATEGEMEA???Kweli kabisa.. afu unaona kuna watu wanasema eti hatuwahitaji.. [emoji2951]
HAMKUWAAMINI YESU NA MANABII WAKE IJE KUWA JIPYA KUTOKUMUAMINI JPM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Too much ego kiasi kwamba umeshindwa kumuelewa anae kuunga mkono hoja yako.Unajielewa kweli wewe? SGR awamu ya kwanza kwenda Dar mpaka Morogoro ndio inajegwa na serikali, awamu zengine wanakopa, Hiyo Ubungo Interchange ni mkopo kutoka benki ya dunia, na hata hiyo miradi mengine inakwama maana serikali imekosa hela, kwenye kuhamia Dodoma mbona Rais hajahamia na alisema kabla mwaka 2018 kuisha atakua ameshahamia?? Hizo
Unajielewa kweli wewe? SGR awamu ya kwanza kwenda Dar mpaka Morogoro ndio inajegwa na serikali, awamu zengine wanakopa, Hiyo Ubungo Interchange ni mkopo kutoka benki ya dunia, na hata hiyo miradi mengine inakwama maana serikali imekosa hela, kwenye kuhamia Dodoma mbona Rais hajahamia na alisema kabla mwaka 2018 kuisha atakua ameshahamia?? Waliohamia wanakaa kwenye majengo ya vyuo?? Unaongea nnn sasa?? Do your research kabla ya kuja kuargue?
Kinacho endelea Venezuela ni zaidi ya unavyo yaelewa mataifa ya mabepari.Tanzania iko kwenye Laiti traki! Venezuala hiyoo, Zimbabwe hiyooo!
Quo Vadis Tanzanie?!
Hivi ni lini JPM amezuia watu/Watanzania kufanya kazi - kulima, kuwekeza, kusindika bidhaa, kujenga, kutoa huduma za kitaalam, kutafiti bidhaa, kusindika bidhaa mpya pamoja na masoko yake? Let us be fair to the President. Wakulima wa korosho si wanauza korosho zao? Pamba je? Kahawa je? Pareto je? Mahidi je? ni bidhaa ipi imezalishwa ikakosa soko au serikali ikaizuia isipelekwe sokoni? Tunapenda kuhamisha, pengine madhara ya elimu ya jumla tuliyonayo, au pengine tulifurahia zaidi kukariri nadharia sasa tuko mitaani hatuna kitu tangible vichwani mwetu, badala ya kujitathmini tunadhani JPM anatuletea matatizo kwa kuanza kudhibiti njama wa wizi za mabeberu? Let's do our homework please.Rais anakosa THE RIGHT APPROACH. Barabara, SGR nk, tunazihitaji Ila uhai wetu wote kama taifa ni muhimu zaidi ya hayo mareli na mandege.
Mtazamo wa kisiasa alionao pamoja na wa chini yake sio sahihi. Kudhani kuwa unaweza kukandamiza watu kisa tu unajenga reli au miundombinu yoyote ni approach mbaya sana