Rais Magufuli amchenjia Makonda?

Boss Nyani Ngabu Umoja wa Vijana na TASAF vinaingilianaje hapo ??? !!! Mpaka Mh. Mkapa ameshangaa nae. Aliambiwa nauli ilitoka kwenye pesa za TASAF ??? !!! Kiki ... Kiki ... !!!
Aisee ... Kamanda ... anasema ... LAZIMA tuwe ... Wazalendo, na sio tena MOYO wa KIZALENDO.
Kweli Dunia inazunguka kwa kasi sana aisee.



 
Hiyo katuni ya King Kinya is one for the ages.

Right up thwre with the satires of Juvenal.

Watu wenye akili watakapouandika utawala wa Magufuli miaka hii mitano ya mwanzo, hiyo katuni isikose, imeandika mengi sana.

Mimi niliacha kuchora darasa la nne, lakini ningekuwa nachora bado, hii ndiyo katuni ambayo ningechora.

Anayevuma Kipanya, lakini King Kinya is so underrated.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyani Ngabu hii mada yako ''apparently ni kama minutia', between the lines inaeleza mambo mengi sana. Napenda sana hoja nyepesi zinazozaa maswali magumu! Bravo
1. Kumtaja Makonda sioni kama ni tatizo, alishawahi kuwataja watu wengine akiwemo Lugola. Pass

2. Je, kumtaja katika ''hali' iliyotokea ilikuwa kuji-dissociate katika ku-mitigate hoja ya ''association''?

3. Ilikuwaje Mh akajua pesa zilichukuliwa lakini hakuambiwa kama ni halali au haramu?
Anazo ''apparatus'' zote ambazo zingempa taarifa on the spot. Hapa ilikuwa ni kweli au kutekeleza #2 hapo juu

4. Ukiangalia ''reaction' ya Marais wastaafu ni ' Faux pas'. Kwanini ilitokea vile!
 

Wasaniiii hao
Wametengeneza Movie ; nauli ya kwenda Dodoma wakati Huo Makonda aliomba Kila mahali ... maana hiyo ndio ilikua kawaida yake kupita kwa makada wa ccm kuomba omba ( Besenga) kati ya watu waliompa nauli ni Rizwani Kikwete ; Frédérique Lowassa; Mzee Sitta etc

Huyu ameshawahi pia kuuwa kada wa Chadema alipoingia Chuo Cha ushirika na Mfadhili wake mkubwa alikua Philllemom Ndesamburo
Huyu ndio alifanya akajuana na Mzee Mengi ambaye kipindi hicho alikuwa na urafiki wa karibu na wanasiasa waliojiita “ walio mstari wa mbele kupambana na ufisadi” .. Mwakyembe na Sitta ... hapo akabadilika akawa ccm wakawa wanamtumia kutukana baada ya kumpenyeza UVCCM Kilimanjaro
Hapo pia akajenga “ushoga” wa karibu na Sitta
So ni mtu ambaye ana Tabia ya kusoma alama za nyakati na kujiweka na wenye nguvu ndio maana ameweza kuhama toka sponsors hadi sponsors from
ndesamburo; Sitta ; Kikwete na Sasa JPM
 
Na hata sasa anaendelea kuomba kwa wenye nazo kusaidia maskini
 
Unknown
 
Nothing will happen ngabu. Makonda is a Blue-eyed Boy.
 
Eti kajitutumua kumsema bashite wakati anajua kabisa hana kosa lolote kwenye hili
 

That was not in a serious note

Hela katoa mkapa, sio JPM, ilitoka enzi za mkapa
 
Ni hivi hizo pesa za TASAF ni enzi ya Mkapa,Makonda alikuwa hohehahe hivyo akasaidiwa.Hizo pesa ilikuwa ni halali kwake kabisa ukilinganisha na mission za TASAF.Akipenda atarudisha tu maana kwa sasa ana uwezo.

Yaani ukisoma post za watu....mpaka huruma
 
hawezi kumchenjia Makonda,mpaka wanajimilikisha Ardhi eneo moja kwa pamoja,then ujue Makonda sio wa kutumbuliwa leo wala Kesho..tutabaki tunaongozwa na mapoyoyo mpaka kesho
TV bila remote control haijakamilika
 
Ilikuwa ni JOKES tu.Hakuna wa kumbabaisha Dlt.Makonda.Kesho Makonda atajitangaza kuwa karudisha shs milioni kumi za TASAF.Game Over!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…