Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #101
Vituko si haba
View attachment 1361151
🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vituko si haba
View attachment 1361151
Hahahaa hii ndo picha sasaVituko si haba
View attachment 1361151
Na wewe unasadiki kama wewe ni Mkristo nakushauri soma sana Biblia Takatifu na kama Muislam ishike sana Quruan Tukufu kabla siku zako hazijaja kuwa mbaya namaanisha ukijaliwa kuwa mzeeRais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe.
Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo.
Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani hakuna baya litalomtokea [sababu yaweza kuwa ni kwa sababu hakuzitumia kabisa hizo hela, au, alizitumia lakini anajua kuwa Rais hatomfanya chochote, n.k.]
Kamera pia ziliwaonyesha marais wastaafu wote watatu.
Kwa kuwasoma lugha yao ya mwili, ni kama vile walikuwa ‘embarrassed’ na alichokisema rais.
Ni kweli Rais Magufuli alimaanisha alichokisema au kasema vile ili kuonyesha tu kuwa ‘hampendelei’ Makonda?
Binafsi naona kama vile kasema tu ili kuonyesha ‘hampendelei’ jamaa huku kiuhalisia hakuna lolote atalomfanya maana jamaa ana madhambi mengi na makubwa kuliko hilo la kutumia fedha za TASAF.
Bofya video umsikie Rais alivyosema kuhusu Makonda. Kuanzia dakika ya kwanza hadi ya pili.
ugomvi wa baba na mwanawe kipenzi ni bora kukaa pembeni sisi wa kufukia tunaweza tukatimuliwa nyumbani buree
Kwangu haziishi ngoja nikuongezee
Lazima atachora tu...tena baba kambeba kwa na..huku dogo anapaka rangi kichwani...toto tukutu lile we acha tu...Kesho nasikia kipanya anataka chora kikatun kuhusu hii familia ya kolomije nasikia kaonywa vikali mambosasa
Kwa mwendo wa sasa inaonekana ni rahisi kwa Makonda kumchenjia Magufuli kuliko Magufuli kumchenjia Makonda.Sikuona umuhimu wa Magufuli kulizungumzia hilo hadharani,wakati anajua hawezi kumfanya chochote,kuwahadaa watu ni kujishushia uaminifu
Kyakyakya Kyakyakya alafu pembeni wakina lugola wana toa mimacho tuuuLazima atachora tu...tena baba kambeba kwa na..huku dogo anapaka rangi kichwani...toto tukutu lile we acha tu...
Inawezekana Makonda akawa mjanja zaidi ya Magufuli?kwa muda alioachwa afanye atakacho siwezi shangaa nikisikia kajichimbia mizizi imara ndani ya vyombo vya doraKwa mwendo wa sasa inaonekana ni rahisi kwa Makonda kumchenjia Magufuli kuliko Magufuli kumchenjia Makonda.
Unawaita washamba kwa maana gani mkuu?Kumbe Mkapa ndo mchawi mkubwa wa hii nchi. Hawa washamba wanaotusumbua kumbe ni yeye ndo aliwaleta mjini.
Amemkuza huyu mwenye makalio makubwa, na kisha mwaka 2015 akaingia mkutanoni Dodoma akiwa na jina la mshamba fulani hivi mfukoni.
Atarudisha na piga atapiga. Hahahahahha.Kwa hiyo arudishe kama elfu sabini hivi, au laki na kidogo kama alitumia Ndege?
Na ilikua nauli ya kwenda dodoma ,pengine haizidi hata milioniNi hivi hizo pesa za TASAF ni enzi ya Mkapa,Makonda alikuwa hohehahe hivyo akasaidiwa.Hizo pesa ilikuwa ni halali kwake kabisa ukilinganisha na mission za TASAF.Akipenda atarudisha tu maana kwa sasa ana uwezo.
Hiyo ilikuwa pongezi. A Pat on the wrist.Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe.
Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo.
Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani hakuna baya litalomtokea [sababu yaweza kuwa ni kwa sababu hakuzitumia kabisa hizo hela, au, alizitumia lakini anajua kuwa Rais hatomfanya chochote, n.k.]
Kamera pia ziliwaonyesha marais wastaafu wote watatu.
Kwa kuwasoma lugha yao ya mwili, ni kama vile walikuwa ‘embarrassed’ na alichokisema rais.
Ni kweli Rais Magufuli alimaanisha alichokisema au kasema vile ili kuonyesha tu kuwa ‘hampendelei’ Makonda?
Binafsi naona kama vile kasema tu ili kuonyesha ‘hampendelei’ jamaa huku kiuhalisia hakuna lolote atalomfanya maana jamaa ana madhambi mengi na makubwa kuliko hilo la kutumia fedha za TASAF.
Bofya video umsikie Rais alivyosema kuhusu Makonda. Kuanzia dakika ya kwanza hadi ya pili.
SASA MBONA MAGUFURI ANA MUOGOPA SANA BASHITE? MBONA BASHITE ANA MPANGIA MAGUFURI SHERIA? JIULIZE KWANINI BASHITE HUWA TUKANA MAWAZIRI WA MAGUFURI NA MAGUFURI ANAUFUATA?Hanna lolote hapo. Magufuli ni Nduli Iddi Amin na Makonda nii Isaac Maliyamungu.
Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe.
Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo.
Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani hakuna baya litalomtokea [sababu yaweza kuwa ni kwa sababu hakuzitumia kabisa hizo hela, au, alizitumia lakini anajua kuwa Rais hatomfanya chochote, n.k.]
Kamera pia ziliwaonyesha marais wastaafu wote watatu.
Kwa kuwasoma lugha yao ya mwili, ni kama vile walikuwa ‘embarrassed’ na alichokisema rais.
Ni kweli Rais Magufuli alimaanisha alichokisema au kasema vile ili kuonyesha tu kuwa ‘hampendelei’ Makonda?
Binafsi naona kama vile kasema tu ili kuonyesha ‘hampendelei’ jamaa huku kiuhalisia hakuna lolote atalomfanya maana jamaa ana madhambi mengi na makubwa kuliko hilo la kutumia fedha za TASAF.
Bofya video umsikie Rais alivyosema kuhusu Makonda. Kuanzia dakika ya kwanza hadi ya pili.
Huu ndio ukweli wa mambo.JPM anamuogopa huyo dogo na hamna mtu mwenye jibu.