Rais Magufuli amedhihirisha kuwa ni kinara wa kutetea Haki za Binadamu kwa vitendo kwa jinsi anavyoshughulikia janga la COVID-19

Muonage

Muonage aibu na ujinga wenu muache
Watanzania wenzetu wapo hospitalini kwa sababu ya huu ugonjwa alafu mtu mmoja anakuja apa kuleta kejeri..Hivi unataka kusema waliopo hospitali wote kisa ni kua awampendi Magufuli? Wizara ya Elimu ebu rekebisheni mtaala wa Elimu ya msingi kabisa
 
Ishambindua savimbilissu mse+far+ weye
Kalashinikov ilidunda!!!
Huyo mnaemsifia ni mwepesi sana mbele ya korona! Atabiduliwa kama karatasi!! Haijalishi amezungukwa na vifaru au mabomu!
Na hivi ana pacemaker we subiri neshno andhem.
 
Watanzania wenzetu wapo hospitalini kwa sababu ya huu ugonjwa alafu mtu mmoja anakuja apa kuleta kejeri..Hivi unataka kusema waliopo hospitali wote kisa ni kua awampendi Magufuli? Wizara ya Elimu ebu rekebisheni mtaala wa Elimu ya msingi kabisa
Msengerema wewe
 
Kalashinikov ilidunda!!!
Huyo mnaemsifia ni mwepesi sana mbele ya korona! Atabiduliwa kama karatasi!! Haijalishi amezungukwa na vifaru au mabomu!
Na hivi ana pacemaker we subiri neshno andhem.
Savimbi anaendeleaje imeshamdeadisha?;''
 
Coronavirus haichagui dini, rangi, chama, tajiri wala maskini

Tuchukue tahadhari ya maneno na matendo
 
Hajapanic ametulia.......tuko vizuri mno.๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ