Hajapanic ametulia, anaangalia hali halisi ya maisha ya watanzania hajakurupuka anawahurumia watu wake ana hofu ya MUÑGU huyu ndiye John mtoto wa Magufuli
Waliopiga kelele kuwa anavunja haki za binadamu wamejifunza kwa vitendo sitegemei kusikia tena Mbwa akibweka kuwa kuna uvunjifu wa haki za binadamu Tanzania
Kuanzia mwezi huu mwishoni maisha ya kawaida yatarejea wataungana na falsafa ya Mwamba wa Chato Mtanzania namba moja hodari mwenye imani kama akina Ibrahim
Heko JPM mwenyezi Mungu alikuandaa uje kuliongoza Taifa hili kwenye nyakati ngumu umebarikiwa