Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali itasikika hadi ndani ya nyumba yakoKule nyuma vipi mnatusikiaaa ...[emoji378][emoji378][emoji378] au tuongeze sauti haya sikiki vizuri
Chamwino mnasikia huko au bado tutupie lingine [emoji378][emoji378][emoji378]
Jamani sinauliza huko mnasikiaaa ... !!!
Hayupo!!!!??? Kwani kaenda wapi??? Mh! au karudi CHATO ???
Maaana msibani pia hayupo ... Pemba sijamuona wala Dom hajaonekana [emoji848][emoji848][emoji848]
Nyumbani kwangu tushachanja kitaaambo we kaa hapo subiri tu ...Usijali itasikika hadi ndani ya nyumba yako
Kwani unafikiri inachagua basi[emoji188][emoji188][emoji378][emoji41]
Wala haibagui[emoji52]
Unajua effectiveness ya chanjo? Ina uwezo wa kuzuia maambukizi kwa asilimia ngapi?Nyumbani kwangu tushachanja kitaaambo we kaa hapo subiri tu ...
Zakuambiwa changanya na zako shauri yako
nimsaidie tu kujibu ita depend na chanjo ipi maana ziko nyingi.Unajua effectiveness ya chanjo? Ina uwezo wa kuzuia maambukizi kwa asilimia ngapi?
Usijali itasikika hadi ndani ya nyumba yako
Kwani unafikiri inachagua basi[emoji188][emoji188][emoji378][emoji41]
Wala haibagui[emoji52]
Ohoooooo! yaleyale maswali ya kukwepa mkojo huku umekanyaga mavi matokeo yake utauangukia ukoge kabisaa ... kwani tangu umezaliwa ushapata chanjo ngapi ?Unajua effectiveness ya chanjo? Ina uwezo wa kuzuia maambukizi kwa asilimia ngapi?
Umeandika nini sasa🙄🙄Ohoooooo! yaleyale maswali ya kukwepa mkojo unakanyaga mavi tangu umezaliwa ushapata chanjo ngapi ?
Polio
Surua
Pepopunda
Ndui
Matende
Bush
Effectiveness zake ipoje? Zina uwezo wa kuzuia maambukizi kwa asilimia ngapi?
Ukipata jibu na mimi ntakujibu
Nyie si mlikuwa mnasifia kaiweza ? yan washindwe UK aiweze Magu ? what were you guys thinking ? me sijawah kustop kusanitize na kuvaa barakoa, magufuli is a moron, this dude is good as dead, yan simsikilizagi hata neno moja jamaa anaropoka sana vitu hata havijui, huyu rais kama mvuta bangi vile.. hizi siku tatu nimepoteza ndugu na rafik kama kumi na wote nature ya tatizo inafanana, na ni watu wa ccm, na walikuwa wanampiga sana promo jamaa na upuuz wake.
Wanaovaa barakoa na kusanitize huko UK hawapati maambukizi wala kufa?
Hao ndugu zako10 ambao wamefariki waliuwawa na rais Magufuli?
Mimi sijawahi kutoka nje ya utaratibu wa kuwa muwajibikaji namba moja awe afya yangu.... sio kwa COVID pekee. Siku zote nachukua tahadhari sahihi na hata kwa malaria, HIV, amoaba, typhoid nachukua tahadhari zake.
Kuna watu hawaoni shida kunywa maji yasiyo safi na salama ila mimi siwezi kunywa maji yasiyokua safi na salama. Kuna watu hawataki barakoa kwa sababu zao binafsi ila mimi navaa bila shurti
Waambie ndugu zako wamchukue tahadhari, wafanye malezi na kazi, wale vizuri na kubwa zaidi wamwombe Mungu kwa imani zao
Umeandika nini sasa[emoji849][emoji849]
Ungetoa jibu kabla ya kuuliza maswali yako. Kukusaidia kuhusu uliyoyataja nenda katafute taarifa zipo