Rais Magufuli amefuta mauaji ya Albino nyakati za uchaguzi

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ukweli lazima usemwe na utasimama.

Kati ya mambo muhimu ambayo Watanzania wanapata moyo na hamu ya kuendelea kumuunga mkono Rais John Magufuli ni pamoja na hili la kuondoa uhalifu na dhulma dhidi ya albino.

Kwa miaka mingi na kwa chaguzi zaidi ya tatu Tanzania ilishuhudia mauaji ya albino au hata vikongwe yakiongezeka nyakati za uchaguzi.

Ikiaminika kuwa biashara ya viungo vya binadamu ilikuwa inalipa nyakati hizi za uchaguzi.

Ziliundwa NGOs kuanza kuwatunza albino mithili ya wanyama lakini toka Rais Magufuli aingie madarakani nadhani nimesikia kifo kimoja tu mwanzoni mwa awamu yake.

Hakika Mungu ni Mwema kwa kutuletea kiongozi Bora.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Kwenye hili nakubali. Zama hii haikua na dhulma Sana, ya uhai wa makundi maalumu ya watu Kama nyakati zilizopita.

Nikisema maalumu namaanisha, albino, vikongwe, na/ vichanga na wengine ambao ni "vulnerable".

Kwa ujumla hatujasikia Matukio ya ajabu ajabu Kama Zama zilizopita.

Maana yake, watanzania/ wanasiasa wamezidi kuelimika na kutafuta kukubalika kisayansi zaidi( endapo ni wao waliokuwa wanahusika na dhulma hizo, nyakati zilizopita)

Pia ni ishara awamu hii, vyombo vya usalama vimehakikisha vinawalinda watu Hawa wasidhulumiwe Maisha yao. Na kwa Hilo navipongeza na kuvishukuru.

Vinahitaji na kustahili pongezi.

Vinahitaji pongezi kweli maana Zama hizi za Magufuli Uhalifu mwingi ambao ulikua ukitokea kwenye jamii, umedhibitiwa kwa kiwango kikubwa.

Ukiachana na matukio ambayo yanaendana, au yamekaa kisiasa zaidi Kama ya Kule pwani.

Hongera kwa Vyombo vya Usalama kwenye Hilo.
 
Kwani wauaji wa hao Albino walikua ni akina nani? Si nyinyi wafuasi na baadhi ya wanachama wa CCM mliogubikwa na tamaa ya kupata utajiri na pia madaraka kupitia njia haramu!!

Hata mauaji ya tembo pia yamepungua baada ya majangili wengi waliojificha kwenye kichaka kinachoitwa CCM kutiwa mbaroni! Mfano ni Mdogo ake Rostam Aziz (Akram Aziz), Mbunge wa zamani wa Mbarali (Pilmohamed nani sijui yule), Mbunge aliyemaliza muda wake kule Kishapu (Suleiman Nchambi), nk.
 
Ebu kuwa na shukrani hata kwa hiki kidogo
 
Kwenye hili nakubali. Zama hii haikua na dhulma Sana, ya uhai wa makundi maalumu ya watu Kama nyakati zilizopita.

Nikisema maalumu namaanisha, albino, vikongwe, na/ vichanga na wengine ambao ni "vulnerable".

Kwa ujumla hatujasikia Matukio ya ajabu ajabu Kama Zama zilizopita.

Maana yake, watanzania/ wanasiasa wamezidi kuelimika na kutafuta kukubalika kisayansi zaidi( endapo ni wao waliokuwa wanahusika na dhulma hizo, nyakati zilizopita). . .

Pia ni ishara awamu hii, vyombo vya usalama vimehakikisha vinawalinda watu Hawa wasidhulumiwe Maisha yao. Na kwa Hilo navipongeza na kuvishukuru.
Vinahitaji na kustahili pongezi.

Vinahitaji pongezi kweli maana Zama hizi za Magufuli Uhalifu mwingi ambao ulikua ukitokea kwenye jamii, umedhibitiwa kwa kiwango kikubwa.

Ukiachana na matukio ambayo yanaendana, au yamekaa kisiasa zaidi.
Kama ya Kule pwani.

Hongera kwa Vyombo vya Usalama kwenye Hilo.
Kuna watu watakupolomoshea mvua ya matusi hapa maana wao hupinga kila kitu hata kama ni kizuri na upingaji wao huambatana na matusi
 
Ukweli lazima usemwe na utasimama.
Kati ya mambo muhimu ambayo watanzania wanapata moyo na hamu ya kuendelea kumuunga mkono Rais John Magufuli ni pamoja na hili la kuondoa uhalifu na dhulma dhidi ya albino.

Kwa miaka mingi na kwa chaguzi zaidi ya tatu Tanzania ilishuhudia mauaji ya albino au hata vikongwe yakiongezeka nyakati za uchaguzi.

Ikiaminika kuwa biashara ya viungo vya binadamu ilikuwa inalipa nyakati hizi za uchaguzi.

Ziliundwa NGOs kuanza kuwatunza albino mithili ya wanyama lakini toka Rais Magufuli aingie madarakani nadhani nimesikia kifo kimoja tu mwanzoni mwa awamu yake.

Hakika Mungu ni Mwema kwa kutuletea kiongozi Bora.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
]
Kwa hiyo kumbe yeye ni mganga aliyekuwa anawatuma wajinga wenzie waue wenye albinism? Ni vema umemtaja. Namuita Fatou Binsouda ashughulike naye na weye utoe ushuhuda. Maana wachawi nguvu zukiwaishia mnatajana tu. ICC moja hiyo! 😂😂😂😂
 
Hata ajali ajali mlizokuwa mnasababisha maccm kwenye makafara yenu zimepungua sana tangu mlipoacha tambiko lenu la Mwenge.
 
[/QUOTE
Huyo Magu huwa anaenda kanisani halafu anakubali kukaa siti za mbele wakati alikubali kuombewa na wachawi wa Gambosh! Hell man! 😂😂😂😂😂
 
Kuna watu watakupolomoshea mvua ya matusi hapa maana wao hupinga kila kitu hata kama ni kizuri na upingaji wao huambatana na matusi
Sasa kama CCM mmeacha kuua Albino mnajisifu nini? Alichofanya Magufuli ni kuwaita wauaji wa Albino kwa vile alikuwa anawajua na kuwaambia waache au wabadilishe formation. Sasa tupinge au tuunge mkono kitu gani?
 
Ebu kuwa na shukrani hata kwa hiki kidogo

Yaani unatengeneza tatizo halafu unapolitatua, unataka tena tukupongeze!!

Hii ishu ya Mauji ya Albino, Vikongwe, Ujangili, Ufisadi, nk. Imeletwa na Serikali ya CCM kwa kushindwa kutimiza wajibu wake kwa namna moja au nyingine!
Hata washukiwa/watuhumiwa wakuu siku zote ni hao hao wafuasi/wanachama wa CCM! Sasa tuwapongeze kwa lipi?

Kabidhini nchi kwa Wapinzani ili tuone na wao watafanya nini.
 
Sasa kama CCM mmeacha kuua Albino mnajisifu nini? Alichofanya Magufuli ni kuwaita wauaji wa Albino kwa vile alikuwa anawajua na kuwaambia waache au wabadilishe formation. Sasa tupinge au tuunge mkono kitu gani?
Ina maana Tumepata mwenyekiti bora wa CCM
 
]
Kwa hiyo kumbe yeye ni mganga aliyekuwa anawatuma wajinga wenzie waue wenye albinism? Ni vema umemtaja. Namuita Fatou Binsouda ashughulike naye na weye utoe ushuhuda. Maana wachawi nguvu zukiwaishia mnatajana tu. ICC moja hiyo! 😂😂😂😂
ile story ya ICJ bado ipo??
 
Ina maana Tumepata mwenyekiti bora wa CCM
Mtajua wenyewe kama ni BORA au BOGA, sisi Mwenyekiti wenu anatuhusu nini? Ulizaneni baada ya kuacha kuua Albino siku hizi mnatambika nini?
 
Ukweli lazima usemwe na utasimama.

Kati ya mambo muhimu ambayo Watanzania wanapata moyo na hamu ya kuendelea kumuunga mkono Rais John Magufuli ni pamoja na hili la kuondoa uhalifu na dhulma dhidi ya albino.

Kwa miaka mingi na kwa chaguzi zaidi ya tatu Tanzania ilishuhudia mauaji ya albino au hata vikongwe yakiongezeka nyakati za uchaguzi.

Ikiaminika kuwa biashara ya viungo vya binadamu ilikuwa inalipa nyakati hizi za uchaguzi.

Ziliundwa NGOs kuanza kuwatunza albino mithili ya wanyama lakini toka Rais Magufuli aingie madarakani nadhani nimesikia kifo kimoja tu mwanzoni mwa awamu yake.

Hakika Mungu ni Mwema kwa kutuletea kiongozi Bora.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Heee unataka kusema ....duuu mtaongea yote safari hii kumbe ndio nyiee tulikuwa hatujui
 
na yatu wenye vipara nani aliyafuta!?! ni zama tu ndiyo zinafuta mambo ya kijinga hayo.
 
Back
Top Bottom