jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Ukweli lazima usemwe na utasimama.
Kati ya mambo muhimu ambayo Watanzania wanapata moyo na hamu ya kuendelea kumuunga mkono Rais John Magufuli ni pamoja na hili la kuondoa uhalifu na dhulma dhidi ya albino.
Kwa miaka mingi na kwa chaguzi zaidi ya tatu Tanzania ilishuhudia mauaji ya albino au hata vikongwe yakiongezeka nyakati za uchaguzi.
Ikiaminika kuwa biashara ya viungo vya binadamu ilikuwa inalipa nyakati hizi za uchaguzi.
Ziliundwa NGOs kuanza kuwatunza albino mithili ya wanyama lakini toka Rais Magufuli aingie madarakani nadhani nimesikia kifo kimoja tu mwanzoni mwa awamu yake.
Hakika Mungu ni Mwema kwa kutuletea kiongozi Bora.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA