Rais Magufuli amekosea sana kuagiza magari ya kesi za Uhujumu Uchumi yapewe Taasisi za Serikali

Kwenye maeneo kuna magari bado kuna stj za mwanzon na sm bado zinafanya kazi.....kuna sehemu mwaka huu ndo wameuza sth...
Mfano kuna pia matreka na malori yana miaka 40 km ma isuzu na yanfanya kazi
Gari iwe mpya au zamani inatemea
Ilikua inafanya kazi gani na itaenda kufanya kazi gani
Huduma ya service kabla na baada ya kupelekwa sehemu husika
Usafi katika uendeahaji na utunzaji wa chombo.
Miaka ni kigezo kati ya vigezo kwa kuwa hata kuuza inapaswa afisa mfawidhi ktk eneo husika aitaarifu serikali.
Na kuuzwa haikuaza jana au leo.
 
Laukama magari hayo bado yana fetch reasonable market value, depreciated value ya magari hayo ni zero. For accounting purposes, depreciation ya magari( usage life) huwa ni miaka kumi na baada ya hapo huwa un useful or rather obsolete na book value yake huwa zero. Sijui wata account vipi annual depreciation na accumulated depreciation ya hayo magari.
Without a doubt, maintenance bill itakuwa ni kubwa na muda mfupi tu yatakuwa auctioned.
Nia ni njema lakini imri wa magari hayo umesepa sana.
 
Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo;
  1. Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi huwa wana namna yao ya kuya-maintain kwa gharama za chini, na kuyaingiza serikali kutasababisha gharama kubwa za matengenezo na maintanance ambayo mwisho wa siku itakuwa ni hasara kwa taifa. Watu wa uhasibu wakipiga hesabu za "depreciation" za haya magari wanaweza kukuta ni scrap tu. Gharama ya ku-maintain gari "scrap" ni kubwa sana afadhali kununua gari jipya
  2. Kuna sera ya serikali ya manunuzi kwamba taasisi za serikali hazipaswi "kununua" (acquisition) magari au vitu ambavo ni second hand. Kwa hiyo japo magari haya yanatolewa bure kwa hizi taasisi za serikali, kimsingi hili linakiuka sera ya taasisi za serikali kutoingiza kwenye leja zao za umiliki wa mali vitu magari ambayo ni "used".
Nini kifanyike basi?

Ningemshauri Rais Magufuli kwamba haya magari yapigwe mnada na fedha zitakazopatikana ziingizwe kwenye shughuli zinazohusiana na kupambana na uhujumu uchumi nchini, ili wakamate magari mengi hata zaidi!
Kwa vile ni kukosoa tu ila uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Mkuu kuna taasisi hazina hata gari na zilipaswa kuwa na gari. Ukumbuke hizi hzinunuliwi wanapewa ni ishu ya kupeleka barua tu basi. Pia hata hayo mapya unayoita huwa yanachoka hivo yanakuwa sawa na used tu
 
Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo;
  1. Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi huwa wana namna yao ya kuya-maintain kwa gharama za chini, na kuyaingiza serikali kutasababisha gharama kubwa za matengenezo na maintanance ambayo mwisho wa siku itakuwa ni hasara kwa taifa. Watu wa uhasibu wakipiga hesabu za "depreciation" za haya magari wanaweza kukuta ni scrap tu. Gharama ya ku-maintain gari "scrap" ni kubwa sana afadhali kununua gari jipya
  2. Kuna sera ya serikali ya manunuzi kwamba taasisi za serikali hazipaswi "kununua" (acquisition) magari au vitu ambavo ni second hand. Kwa hiyo japo magari haya yanatolewa bure kwa hizi taasisi za serikali, kimsingi hili linakiuka sera ya taasisi za serikali kutoingiza kwenye leja zao za umiliki wa mali vitu magari ambayo ni "used".
Nini kifanyike basi?

Ningemshauri Rais Magufuli kwamba haya magari yapigwe mnada na fedha zitakazopatikana ziingizwe kwenye shughuli zinazohusiana na kupambana na uhujumu uchumi nchini, ili wakamate magari mengi hata zaidi!
Ukipiga mnada jamaa wanakuja kuyanunua tena....
 
Umeongea vizuri Sana. Umaliziaji wako sasa maweeeeee.
Eti pesa inayopatikana ipelekwe wapi?
Hiyo bhana itakua chakula ya watu. Bora iyo pesa kwa style ya Magu ipelekwe kujenga km darasa/zahanat hivi na Magu mwenyewe awe mkabidh pesa mbele ya kamera na atoe ile kauli mkila hizi pesa na nyinyi mtaliwa. Hapo ndipo tutaona kitu cha maana
 
...Umenena Vyema na ni Ushauri Mwema. Tatizo kuna Wa kuufanyia Kazi?
Hivi wale wote waliokuwepo pale hakuna hata mmoja aliyeweza kumshauri? Woga??
Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo;
  1. Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi huwa wana namna yao ya kuya-maintain kwa gharama za chini, na kuyaingiza serikali kutasababisha gharama kubwa za matengenezo na maintanance ambayo mwisho wa siku itakuwa ni hasara kwa taifa. Watu wa uhasibu wakipiga hesabu za "depreciation" za haya magari wanaweza kukuta ni scrap tu. Gharama ya ku-maintain gari "scrap" ni kubwa sana afadhali kununua gari jipya
  2. Kuna sera ya serikali ya manunuzi kwamba taasisi za serikali hazipaswi "kununua" (acquisition) magari au vitu ambavo ni second hand. Kwa hiyo japo magari haya yanatolewa bure kwa hizi taasisi za serikali, kimsingi hili linakiuka sera ya taasisi za serikali kutoingiza kwenye leja zao za umiliki wa mali vitu magari ambayo ni "used".
Nini kifanyike basi?

Ningemshauri Rais Magufuli kwamba haya magari yapigwe mnada na fedha zitakazopatikana ziingizwe kwenye shughuli zinazohusiana na kupambana na uhujumu uchumi nchini, ili wakamate magari mengi hata zaidi!
 
Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo;
  1. Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi huwa wana namna yao ya kuya-maintain kwa gharama za chini, na kuyaingiza serikali kutasababisha gharama kubwa za matengenezo na maintanance ambayo mwisho wa siku itakuwa ni hasara kwa taifa. Watu wa uhasibu wakipiga hesabu za "depreciation" za haya magari wanaweza kukuta ni scrap tu. Gharama ya ku-maintain gari "scrap" ni kubwa sana afadhali kununua gari jipya
  2. Kuna sera ya serikali ya manunuzi kwamba taasisi za serikali hazipaswi "kununua" (acquisition) magari au vitu ambavo ni second hand. Kwa hiyo japo magari haya yanatolewa bure kwa hizi taasisi za serikali, kimsingi hili linakiuka sera ya taasisi za serikali kutoingiza kwenye leja zao za umiliki wa mali vitu magari ambayo ni "used".
Nini kifanyike basi?

Ningemshauri Rais Magufuli kwamba haya magari yapigwe mnada na fedha zitakazopatikana ziingizwe kwenye shughuli zinazohusiana na kupambana na uhujumu uchumi nchini, ili wakamate magari mengi hata zaidi!
Kwani hayo magari wanayanunua au wamesha ya -acquire?
 
HUjaeleweka Mkuu. Hayo magari ametaifishwa na serikali kutoka kwa watu waliokamatwa kwa masuala ya uhujumu uchumi wakiwa na hayo magari; kwa mfano lori lilikamatwa likiwa na nyara za serikali, au Rangerover ilikamatwa ikiwa na watu wanasafirisha magendo toka Kenya
 
Hivi wasaidizi wake hawajamshauri hili?
magari haya muda mwingi yatakuwa garage kuliko kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom