Tetesi: Rais Magufuli amewaita mabalozi wote wanaoiwakilisha Tanzania nchi za nje

Kuna tetesi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Johm Pombe Magufuli amewaita mabalozi wote wawakilishi wa Tanzaina nchi za nje kwenye mkutano utakaofanyika Ijumaa (kesho) Ikulu jijini Dar-Es-Salaam.

Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mabadiliko makubwa katika safu ya mabalozi hao pamoja na utendaji wa ujumla katika vituo vyao vya kazi. Habari zaidi zinanyetisha kwamba kabla ya mkutano huo kati ya mabalozi wote na mh. Rais, mabalozi hao watafanya mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mh. Agustine Mahiga hii leo.
Tusubiri haraka ya nini
 
Ma Engineer na Dr wajiandae kuwakilisha Nchi kimataifa
Ahahahah bwana mdogo upo? Umeikumbuka ile awamu yetu akina shomvi wakicheza bao ikulu?

Daah kama hukujenga kwenye awamu ile baasi tena!!
 
Kuna tetesi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Johm Pombe Magufuli amewaita mabalozi wote wawakilishi wa Tanzaina nchi za nje kwenye mkutano utakaofanyika Ijumaa (kesho) Ikulu jijini Dar-Es-Salaam.

Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mabadiliko makubwa katika safu ya mabalozi hao pamoja na utendaji wa ujumla katika vituo vyao vya kazi. Habari zaidi zinanyetisha kwamba kabla ya mkutano huo kati ya mabalozi wote na mh. Rais, mabalozi hao watafanya mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mh. Agustine Mahiga hii leo.
Ni kawaida Rais wa JMT kuongea na mabalozi kila mwaka.
 
Wote waitwe wapewe mikakati na BORA KISWAHILI NDIO KIPEWE MKAZO AKIANZA KUSAFIRI ASIPATE SHIDA
 
Mabarozi kila kitu wanatumia kiingereza kila wakiwasiliana na mheshimiwa raisi.Bora waje wapewe semina elekezi ni KUTUMIA KISWAHILI TU NA KISUKUMA
 
Alafu mnasema sirikili haina pesa kitendo cha kuwaita ujue mamia ya mamilioni yametumia kwa flights n DSA
 
Pengine na mimi mh Rais ana weza akanikumbuka katika ufalme wake ni kapunguza uchungu wa kibano ninachokipata huku mitaani,maana yake gauge haisomi kabisa kila kona ni giza nene limetanda.
Kama umeishi kumsifia umejihakikishia kupata Mkuu.
 
Kuna tetesi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Johm Pombe Magufuli amewaita mabalozi wote wawakilishi wa Tanzaina nchi za nje kwenye mkutano utakaofanyika Ijumaa (kesho) Ikulu jijini Dar-Es-Salaam.

Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mabadiliko makubwa katika safu ya mabalozi hao pamoja na utendaji wa ujumla katika vituo vyao vya kazi. Habari zaidi zinanyetisha kwamba kabla ya mkutano huo kati ya mabalozi wote na mh. Rais, mabalozi hao watafanya mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mh. Agustine Mahiga hii leo.
Mungu tusaidie tuvuke
 
Kuwaambia wakafanye mambo ya msingi kwa taifa. Waitangaze Tanzania uko walipo sio kung'ang'ania ofisin kupiga mihuri ya passport
 
Kuna tetesi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Johm Pombe Magufuli amewaita mabalozi wote wawakilishi wa Tanzaina nchi za nje kwenye mkutano utakaofanyika Ijumaa (kesho) Ikulu jijini Dar-Es-Salaam.

Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mabadiliko makubwa katika safu ya mabalozi hao pamoja na utendaji wa ujumla katika vituo vyao vya kazi. Habari zaidi zinanyetisha kwamba kabla ya mkutano huo kati ya mabalozi wote na mh. Rais, mabalozi hao watafanya mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mh. Agustine Mahiga hii leo.

Duuh kama ni kweli labda wanahakikiwa, ni vyema sana Mh Rais lazima awajue wawakilishi wake huko na sera za nje za Mh wazijue maana wengine si wa uteuzi wake ni wa tangu longi mfano Balozi Tuvako Manongi
 
Alafu mnasema sirikili haina pesa kitendo cha kuwaita ujue mamia ya mamilioni yametumia kwa flights n DSA
Walizotumia chadema kupeleka umbeya Kwa mabwana zao ulaya si fedha ya serikali?, ruzuku.
 
Siku za hivi karibuni kulikua na habari nyingi za kusua kuhusu watanzania kuteswa oman. Nina wasi wasi ni zengwe lilikua linatengenezwa..hivyo balozi ally anaweza kurudi nyumbani kulima nyanya
 
Back
Top Bottom