Tetesi: Rais Magufuli amewaita mabalozi wote wanaoiwakilisha Tanzania nchi za nje

Tetesi: Rais Magufuli amewaita mabalozi wote wanaoiwakilisha Tanzania nchi za nje

Kuna kipindi ma DED almost wote walikuwa wanamsikiliza Laigwanan kuliko rais. Ni suala la networking kwa malengo fulani...
Hapa nimezungumzia uzoefu katika diplomasia na sio ushawishi
 
Ni kitu gani kipya ulichoeleza hapo?? Labda kuita watu wapumbavu na wanywa viroba coz mkishindwa kujenga hoja mnakimbilia huko...
hoja gani kwamba ikulu itumie video conference kujadili mabo muhimu na siri za nchi washauli UKAWA watumie hiyo.
 
hoja gani kwamba ikulu itumie video conference kujadili mabo muhimu na siri za nchi washauli UKAWA watumie hiyo.
Mkuu nashindwa kabisa kuwaelewa watz wenzangu yaani mtu analazimisha kabisa video conference itumike!!!! Hii sidhani kama inahitaji hata la saba kufikiri kuwa hizo ni siri za nchi.
 
Yametimia, be the first to kmow via Jamii Forums

Nadhania wito wa mheshimiwa kwa mabalozi ni wazi - watanzania wanataka kuona utendaji unabadilika na manufaa ya ubalozi yanaonekana badala ya kuandaa party za sikukuu peke yake na kukaa mwaka mzima haijulikani balozi nini kafanya.
 
Back
Top Bottom