Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi huwa nashangaa pale watu wanapokuwa wanajifanya viziwi na vipofu mbele ya ukweli simply because of fanatismwaache hao wameishiwa hoja sasa wanaokoteza hata pointless kupambana na ukweli
Na mbaya zaidi hao walowafuata huko Gernman, wakaja Tz kumpongeza JPM kwa kazi nzuri anayoifanya!..Juz hapa Wabunge wa Chadema na baadhi ya viongozi walienda ULAYA.. je unaweza kutuambia faida iliopata Chadema kutokana na ziara hiyo au ilikua njia ya kula Ruzuku za Chama (Kodi za wananchi)
Maana kama ni mafunzo wangemleta nchini mtoa mafunzo ambae angekuja Tanzania angetoa kwa watu wengi wa Chadema
aaaah!!! anajiitaga Makonda eti?! kumbe hana lolote!Au ameteuliwa RAS??
Mkalimani atakuwepo??Kuna tetesi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Johm Pombe Magufuli amewaita mabalozi wote wawakilishi wa Tanzaina nchi za nje kwenye mkutano utakaofanyika Ijumaa (kesho) Ikulu jijini Dar-Es-Salaam.
Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mabadiliko makubwa katika safu ya mabalozi hao pamoja na utendaji wa ujumla katika vituo vyao vya kazi. Habari zaidi zinanyetisha kwamba kabla ya mkutano huo kati ya mabalozi wote na mh. Rais, mabalozi hao watafanya mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mh. Agustine Mahiga hii leo.
Je DR. Dau ana "mission" na Bwana yule na anahitajika kurudi kwa haraka?Kama Dr Dau aliyeondoka juzi naye atarudi hiyo itakuwa ni kufuja hela za umma .
okay take itwaache hao wameishiwa hoja sasa wanaokoteza hata pointless kupambana na ukweli
Kuna kipindi ma DED almost wote walikuwa wanamsikiliza Laigwanan kuliko rais. Ni suala la networking kwa malengo fulani...Acha utani mkuu. Kwamba Membe ni diplomat mzoefu kuliko Mahiga!!!!? Give me a break
Swali ni kwamba unaijua Skype au video conference??akili za upepo yaani kuongelea siri za nchi tutumie mitandao kwikwikwi wewe siku ukiwa kiongozi utauza nchi na huenda ukawa mwana ukawa wewe.
ficha upumbavu unadhani wote ni wanywa viroba kama wewe, ngoja nikufute ujinga kidogo hizo skype na video conference ni huduma za kimawasiliano zinazotumia INTERNET PROTOCOL (IP) kwa hiyo packect switching inapitia nodes nyingi duniani kupelekea risk ya wadukuzi kuwa na uwezo mkubwa wa kudaka mawasiliano yenu ndo maana mabenki, wizara, taasisi mbalimbali duniani hutumia MPLS VPN na POINT TO POINT layer2 VPN kupitisha taarifa zao ili kukwepa udukuzi. next time niquote kwa tahadhali ukijua huyu sio msukule kama wewe.Swali ni kwamba unaijua Skype au video conference??
Kwa ulimbukeni wako unafikiri mabalozi wote wanazungumza Kiingereza. Zungusha mikono.nikajua wale mabalozi ambao lugha yao ya kwanza ni kingredha,kumbe hawa
Ni kitu gani kipya ulichoeleza hapo?? Labda kuita watu wapumbavu na wanywa viroba coz mkishindwa kujenga hoja mnakimbilia huko...ficha upumbavu unadhani wote ni wanywa viroba kama wewe, ngoja nikufute ujinga kidogo hizo skype na video conference ni huduma za kimawasiliano zinazotumia INTERNET PROTOCOL (IP) kwa hiyo packect switching inapitia nodes nyingi duniani kupelekea risk ya wadukuzi kuwa na uwezo mkubwa wa kudaka mawasiliano yenu ndo maana mabenki, wizara, taasisi mbalimbali duniani hutumia MPLS VPN na POINT TO POINT layer2 VPN kupitisha taarifa zao ili kukwepa udukuzi. next time niquote kwa tahadhali ukijua huyu sio msukule kama wewe.
Membe hana kitu alikuwa anabebwa na jk tu! Hawezi kumzidi Mahinga kwa diplomat hata shetani arudi dunianiTetesi ni kwamba mabalozi wengi wanamsikiliza Bernard Membe kuliko Mkulu. Wao wanajua wanataka uzoefu kwa huyo diplomat!
Mkalimani wa nini tena mkuu?Mkalimani atakuwepo??
Kila kitu kina taratibu zake mkuu ila katika awamu hii hizo 'taratibu' ni tofauti kidogo!Mabalozi hawabdilishwi kama wakuu wa mikoa au wilaya......kunataratibu zake