MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,447
Tusubiri haraka ya niniKuna tetesi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Johm Pombe Magufuli amewaita mabalozi wote wawakilishi wa Tanzaina nchi za nje kwenye mkutano utakaofanyika Ijumaa (kesho) Ikulu jijini Dar-Es-Salaam.
Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mabadiliko makubwa katika safu ya mabalozi hao pamoja na utendaji wa ujumla katika vituo vyao vya kazi. Habari zaidi zinanyetisha kwamba kabla ya mkutano huo kati ya mabalozi wote na mh. Rais, mabalozi hao watafanya mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mh. Agustine Mahiga hii leo.
Ahahahah bwana mdogo upo? Umeikumbuka ile awamu yetu akina shomvi wakicheza bao ikulu?Ma Engineer na Dr wajiandae kuwakilisha Nchi kimataifa
Ni kawaida Rais wa JMT kuongea na mabalozi kila mwaka.Kuna tetesi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Johm Pombe Magufuli amewaita mabalozi wote wawakilishi wa Tanzaina nchi za nje kwenye mkutano utakaofanyika Ijumaa (kesho) Ikulu jijini Dar-Es-Salaam.
Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mabadiliko makubwa katika safu ya mabalozi hao pamoja na utendaji wa ujumla katika vituo vyao vya kazi. Habari zaidi zinanyetisha kwamba kabla ya mkutano huo kati ya mabalozi wote na mh. Rais, mabalozi hao watafanya mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mh. Agustine Mahiga hii leo.
Wachumia tumbo utawajua tu mkuu.aaaah!! kashindwa kukumbukwa Lizaboni sembuse wewe?!
Kama umeishi kumsifia umejihakikishia kupata Mkuu.Pengine na mimi mh Rais ana weza akanikumbuka katika ufalme wake ni kapunguza uchungu wa kibano ninachokipata huku mitaani,maana yake gauge haisomi kabisa kila kona ni giza nene limetanda.
Mungu tusaidie tuvukeKuna tetesi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Johm Pombe Magufuli amewaita mabalozi wote wawakilishi wa Tanzaina nchi za nje kwenye mkutano utakaofanyika Ijumaa (kesho) Ikulu jijini Dar-Es-Salaam.
Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mabadiliko makubwa katika safu ya mabalozi hao pamoja na utendaji wa ujumla katika vituo vyao vya kazi. Habari zaidi zinanyetisha kwamba kabla ya mkutano huo kati ya mabalozi wote na mh. Rais, mabalozi hao watafanya mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mh. Agustine Mahiga hii leo.
Umenukumbusha yule Mh. Aliyefuatana na msafara wa wapambe halafu akatoa msaada kiduchu!Hizi gharama hazina ulazima wowote!!!
Kuna tetesi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Johm Pombe Magufuli amewaita mabalozi wote wawakilishi wa Tanzaina nchi za nje kwenye mkutano utakaofanyika Ijumaa (kesho) Ikulu jijini Dar-Es-Salaam.
Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mabadiliko makubwa katika safu ya mabalozi hao pamoja na utendaji wa ujumla katika vituo vyao vya kazi. Habari zaidi zinanyetisha kwamba kabla ya mkutano huo kati ya mabalozi wote na mh. Rais, mabalozi hao watafanya mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Mh. Agustine Mahiga hii leo.
Walizotumia chadema kupeleka umbeya Kwa mabwana zao ulaya si fedha ya serikali?, ruzuku.Alafu mnasema sirikili haina pesa kitendo cha kuwaita ujue mamia ya mamilioni yametumia kwa flights n DSA
Hizi gharama hazina ulazima wowote!!!
Umepiga scud ufipa, pamesambaa, ha ha ha!Umenukumbusha yule Mh. Aliyefuatana na msafara wa wapambe halafu akatoa msaada kiduchu!
Je akitaka kutumbua, atatumbuaje kwa conference tv?Si atumie television,skype,video conference badala ya kufuja pesa?
Teh, teh, teh, teh, Nasikia gharama ya usafiri tu ilizidi mara tano ya msaada aliotoa. Teh, teh, teh, teh!Umenukumbusha yule Mh. Aliyefuatana na msafara wa wapambe halafu akatoa msaada kiduchu!