Mkuu nashindwa kabisa kuwaelewa watz wenzangu yaani mtu analazimisha kabisa video conference itumike!!!! Hii sidhani kama inahitaji hata la saba kufikiri kuwa hizo ni siri za nchi.
Nadhania wito wa mheshimiwa kwa mabalozi ni wazi - watanzania wanataka kuona utendaji unabadilika na manufaa ya ubalozi yanaonekana badala ya kuandaa party za sikukuu peke yake na kukaa mwaka mzima haijulikani balozi nini kafanya.