Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Mbona hatujaona video yako? Ntumie hata pm mkuu ukiwa unachana Qur an [emoji1]I scare no one na nimeshachana sana, na hata nikifanya sasa haitakuwa na madhara yoyote kwa sababu siko ujinga unapofanyikaga
😕Mbona hatujaona video yako? Ntumie hata pm mkuu ukiwa unachana Qur an [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Allah anauwezo gani?Ndo Allah kajitetea hivyo kama mchanaji alivyotaka
Endelea kuumia kwa chuki hatuna muda
Sent using Jamii Forums mobile app
ILA ngoja niseme ukweli.
Kama una bunduki alafu hata mende unatamani kumpiga na bunduki.
Hata kama una madaraka makubwa hivyo. Ni haki na upo sahihi.
Ila tuanche system ifanye kazi.
Waziri husika kamsimamisha kazi, akisubiri hatua zaidi za kisheria.
Unajua huyo jamaa anaweza kuwa na kichaaa au kalukwa na akili. Na ikithibitika hivyo!
Duuuuu itakuwa matumizi mabaya ya madaraka.
Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.
Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.
Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ILA ngoja niseme ukweli.
Kama una bunduki alafu hata mende unatamani kumpiga na bunduki.
Hata kama una madaraka makubwa hivyo. Ni haki na upo sahihi.
Ila tuanche system ifanye kazi.
Waziri husika kamsimamisha kazi, akisubiri hatua zaidi za kisheria.
Unajua huyo jamaa anaweza kuwa na kichaaa au kalukwa na akili. Na ikithibitika hivyo!
Duuuuu itakuwa matumizi mabaya ya madaraka.
Hapo kura kede kede za wazee wa baraghashia.
Huku Kafir akiendelea kuponda upepo wa magogoni, na washangiliaji wakiendelelea na kashata zao na baghia.
Dini ni mojawapo ya upumbavu uliopandikizwa mwilini mwa watu.
Ongeza ufahamu bro.
Ugonjwa wa akili una dawa na wagonjwa wanapona.
Hamnaga uvumilivu wa kiimani hadi uandike "asije kutugombanisha"?
Embu chanachana Biblia leo uone hata kama kuna mtu atakujadiri
Hivi una umri gani wewe jamaa!? Hiyo ya wakanyaga mafuta ni ya kuzungumzia!?HIZO NI SALAMU na kwa wale wanaodharau imani za watu wengine ziwe za wakanyaga mafuta,wala keki za upako nk
LMAO!Your talking Of St Thomas Aquinas ,Who flourished the idiologies Of benedictian monasticism iliyopelekea celibacy hence sodomy
Acha kuishi gizani unajitesa kwa machuki ya kijinga
Chuki ikizidi unachukua kamba unajitundika
Na muache kutazam viongozi Kwa mitazamo ya kidini
Utakufa Na machuki yako
Allah ndie anayeteremsha mvua
Kasome
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakiri mtuhumiwa amekosa sana kwa kudharau na kudhihaki imani za wengine.Rais Magufuli akiwa leo anazindua Jengo la Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni amemsifu Waziri Jafo kwa kumsimamisha kazi lakini amesema yeye amemfukuza kabisa.
Amesema "Juzi nilimsikia Waziri Jafo, Mtu mmoja kule Kilosa nafikiri alichana Kitabu Kitabu Kitakatifu. Nashukuru ulichukua hatua ya kumfukuza kazi. Lakini mimi namfukuza moja kwa moja muandikie barua ya kumfukuza moja kwa moja"
Ameongeza "Ashinde kesi asishinde huyo si mfanyakazi wa Serikali. Hatuwezi tukakaa na Wafanyakazi Wapumbavu. Katika Serikali hii."
Umechukua jukumo lako la kumsimamisha kazi mimi namfukuza kabisa. Akitoka huko kutumikia adhabu aende akatafute maisha.
Amemalizia "Hili nilikuwa nachomekea tu....."
Kwa taarifa zaidi, tembelea Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi
Gazeti ambalo mlitoa haya ndani yake.
Mbona waislamu wanakuitaga wewe kafiri hiyo sio dharau kwa imani nyingine?Nakiri mtuhumiwa amekosa sana kwa kudharau na kudhihaki imani za wengine.
Tatizo liko kwenye utaratibu wa mkuu wa kaya kuingilia mihimili hii mingine. Je, haamini kama haki ingetendeka tu kwa kupitia mifumo iliyopo? Kwa maoni yangu, hii inaathiri morali wa kazi kwa mihimilii hii inayoingiliwa kwa kuona kama haiaminiki kiutendaji.
Ni maoni yangu tu.
Mbona kiranga na imani yake ya kutotambua uwepo wa Mungu a.k.a mpagani kila Siku hamuiheshimu,mnamuona kama kapotea njia.Hili nifunzo kwa wanao dhihaki imani za wenzao ,
Kila MTU abaki na iman yake , na ni vyema kila MTU aheshim imani ya mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app