Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Safi sana Mh Rais maana hatuwezi kuwa na watu wa hovyo unadhani kila mtu akianza kuchana kitabu cha dini ya mwenzie si itakua vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa akiwa kichaa si atafukuzwa kazi pia! Au serikali inaruhusu kuajiri vichaa?
ILA ngoja niseme ukweli.

Kama una bunduki alafu hata mende unatamani kumpiga na bunduki.

Hata kama una madaraka makubwa hivyo. Ni haki na upo sahihi.

Ila tuanche system ifanye kazi.

Waziri husika kamsimamisha kazi, akisubiri hatua zaidi za kisheria.

Unajua huyo jamaa anaweza kuwa na kichaaa au kalukwa na akili. Na ikithibitika hivyo!


Duuuuu itakuwa matumizi mabaya ya madaraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.

Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.

Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa hana akili timamu kazini anafanya nini ! Bora bs kafukuzwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ILA ngoja niseme ukweli.

Kama una bunduki alafu hata mende unatamani kumpiga na bunduki.

Hata kama una madaraka makubwa hivyo. Ni haki na upo sahihi.

Ila tuanche system ifanye kazi.

Waziri husika kamsimamisha kazi, akisubiri hatua zaidi za kisheria.

Unajua huyo jamaa anaweza kuwa na kichaaa au kalukwa na akili. Na ikithibitika hivyo!


Duuuuu itakuwa matumizi mabaya ya madaraka.

Sasa kama kichaa kazini anafanya nini ! Si ataweza kuuwa hata wenzake hapo kazini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo kura kede kede za wazee wa baraghashia.

Huku Kafir akiendelea kuponda upepo wa magogoni, na washangiliaji wakiendelelea na kashata zao na baghia.

Dini ni mojawapo ya upumbavu uliopandikizwa mwilini mwa watu.

Nawe kunywa pombe zako kwani shida nini [emoji38][emoji38][emoji38] binadamu aiseeh akili zenu sijui zikoje


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Your talking Of St Thomas Aquinas ,Who flourished the idiologies Of benedictian monasticism iliyopelekea celibacy hence sodomy

Acha kuishi gizani unajitesa kwa machuki ya kijinga

Chuki ikizidi unachukua kamba unajitundika

Na muache kutazam viongozi Kwa mitazamo ya kidini

Utakufa Na machuki yako

Allah ndie anayeteremsha mvua

Kasome

Sent using Jamii Forums mobile app
LMAO!
Apocrypha (The infancy Gospel of Thomas)
Apocrypha (Gospel of the infancy of Jesus)
Hizi zote hazizungumzi upuuzi ndio maana ukisoma koran 3:49 utapata kujua ilitolewa kutoka gospel of Thomas chapter 1.

Koran 19:18-34 imechukuliwa kutoka gospel of the infancy of Jesus
Koran 5:110 toka Guillaume, hivi ni baadhi ya vitabu vinavyothibitisha ukuu wake na utakatifu wake ndio maana ancestors wakiarabu wakakopi hivyo inaondoa maana ya koran kabisa

Naomba ujibu hili swali, unaweza kuhubiri uislamu bila Biblia?
 
Rais Magufuli akiwa leo anazindua Jengo la Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni amemsifu Waziri Jafo kwa kumsimamisha kazi lakini amesema yeye amemfukuza kabisa.

Amesema "Juzi nilimsikia Waziri Jafo, Mtu mmoja kule Kilosa nafikiri alichana Kitabu Kitabu Kitakatifu. Nashukuru ulichukua hatua ya kumfukuza kazi. Lakini mimi namfukuza moja kwa moja muandikie barua ya kumfukuza moja kwa moja"

Ameongeza "Ashinde kesi asishinde huyo si mfanyakazi wa Serikali. Hatuwezi tukakaa na Wafanyakazi Wapumbavu. Katika Serikali hii."

Umechukua jukumo lako la kumsimamisha kazi mimi namfukuza kabisa. Akitoka huko kutumikia adhabu aende akatafute maisha.

Amemalizia "Hili nilikuwa nachomekea tu....."


Kwa taarifa zaidi, tembelea Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi
Nakiri mtuhumiwa amekosa sana kwa kudharau na kudhihaki imani za wengine.

Tatizo liko kwenye utaratibu wa mkuu wa kaya kuingilia mihimili hii mingine. Je, haamini kama haki ingetendeka tu kwa kupitia mifumo iliyopo? Kwa maoni yangu, hii inaathiri morali wa kazi kwa mihimilii hii inayoingiliwa kwa kuona kama haiaminiki kiutendaji.

Ni maoni yangu tu.
 
biblia ni kama GAZETI.
ndo maana hamna uchungu na BIBLIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Gazeti ambalo mlitoa haya ndani yake.

Koran 2:17 iko Zaburi 33:6&9
Koran 2:245 iko proverbs 19:17
Koran 17:12 iko Mwanzo 1:14
Koran 7:199 iko Waefeso 4:31-32
Sahih al bukhari volume 9; book 93 number 559 imechukuliwa Mathayo 20:1-16
Hadith quds 18 imechukuliwa Mathayo 25:31-46

Inatosha nina mengi hadi kero, sasa kama kitabu chenu si gazeti na kina maana kushinda Biblia kwanini kimeikopi Biblia?
 
Nakiri mtuhumiwa amekosa sana kwa kudharau na kudhihaki imani za wengine.

Tatizo liko kwenye utaratibu wa mkuu wa kaya kuingilia mihimili hii mingine. Je, haamini kama haki ingetendeka tu kwa kupitia mifumo iliyopo? Kwa maoni yangu, hii inaathiri morali wa kazi kwa mihimilii hii inayoingiliwa kwa kuona kama haiaminiki kiutendaji.

Ni maoni yangu tu.
Mbona waislamu wanakuitaga wewe kafiri hiyo sio dharau kwa imani nyingine?
 
Serikali haina dini sasa baba magufuli anamfukuzaje mtu kwa kutumia mamlaka ya kuwa mkuu wa serikali???
 
Back
Top Bottom