Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
HahaSi walisema Allah hawezi kujipigania mpaka Jafo ampiganie haya sasa Mzee mzima kaamua aunge juhudi za mashambulizi[emoji23]. Tanzania kama movie vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaSi walisema Allah hawezi kujipigania mpaka Jafo ampiganie haya sasa Mzee mzima kaamua aunge juhudi za mashambulizi[emoji23]. Tanzania kama movie vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapiga pesa Sana,hata Kama alilewa asingetembea kwa miguu,kuzurura kumempa haya,angechukua hata boda aende kulala.Afisa biashara amesomea biashara ataenda mtaani kufanya biashara simple.Ila kupata ushirikiano wa kutafuta napo itamuwia vigumu kwa sababu watu watakuwa hawana imani nae.Amechezea nafasi adimu ya upigaji akabebe zege.
Mamlaka ya kuhukumu umeyapata wapi?Ni dharau lakini mafundisho yetu hayatuelekezi ukorogi na mabavu kama wenzetu. Yesu alihubiri upendo hata kwa adui zetu.
Nakiri mtuhumiwa amekosa sana kwa kudharau na kudhihaki imani za wengine.
TARATIBU KIJANA. UMESHASEMA NI MPUMBAVU HUYO ALIECHANA. BASI TOSHA. INA MAANA AMEFANYA KITU CHA KIPUMBAVU. NA NDIO MAANA KIONGOZI MAKINI KAMA ANKO MAGU NA PIA Mh. JAFO HAWAKUWEZA KISTAHMILI UJINGA WA HUYO ALIECHANA.Lakini ninajiuliza kwa nini kila siku iwe kitabu hiki tu cha waislamu ndiyo mara kinachanwa mara kinachoma moto, kwa nini lakini?
Nni kitabu watu wamechoma makanisa na wanapeta tuuIla na hawa ndugu zetu wanadeka sana.
Hapa tumeogopa mengi.
Unaweza kukuta kichaa huyo akasababisha watu wakavaa mabomu au kuchoma makanisa.
Mpumbavu ni mpumbavu anaweza kuwa huku au kule ni kuwadhibiti mapema.
Lakini ninajiuliza kwa nini kila siku iwe kitabu hiki tu cha waislamu ndiyo mara kinachanwa mara kinachoma moto, kwa nini lakini?
mbona biblia inachanwa na hata kuchomwa moto . watu hawana shida kwa maana wanamuachia Mungu.
Ila kwa nini hikikitabu tu kiteswa mara kwa mara.
Hauna point dogo tulia upate upepo.Hivi ukichoma au isigina simu yako yenye kitabu kitakatifu ndani kwa kutumia yale yale maneno aliyekua anaongea yule bwana itakuaje!
Make nahisi alinunua kwa hela yake ile Quran.
Mtumishi wa umma anapaswa kuwa na akili timamuAngesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.
Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.
Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli mtu wa kutumbua watu jukwaani kwa kelele za "nitumbueee, nisitumbueee?"
Halafu wananchi wanamjibu.
"Tumbuaaaa"
Anatumbua hapo hapo.
Huyo ni mtu wa kusubiri hatua za due process na za kinidhamu?
Point of correctionUtawala wa sheria haufatwi kabisa nchi hii.Mahakama ikishibitisha kuwa alikuwa kichaa je? Atapoteza haki yake ya ajira sababu tu ya Tamko la Mh Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtumishi kama yule alipaswa kuwajibishwa na Mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri yake.....
Swala la kusimamishwa kazi halikupaswa kutolewa na Waziri....
Vyombo vya usalama si vipo?
Mtumishi wa Umma akishashtakiwa kwa kosa la jinai, anasimamishwa kazi hapohapo mpk maamuzi ya mahakama yatakapotoka.
Yani leo afisa mdogo kama yule anashughulikiwa na Rais?
Rais kakosa kazi kweli.
Kuchana Quran, Biblia na hata kuchoma moto bendera ya nchi, zinatakiwa kuwa ni haki za kimsingi za kila raia za kujieleza.Mtumishi kama yule alipaswa kuwajibishwa na Mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri yake.....
Swala la kusimamishwa kazi halikupaswa kutolewa na Waziri....
Vyombo vya usalama si vipo?
Mtumishi wa Umma akishashtakiwa kwa kosa la jinai, anasimamishwa kazi hapohapo mpk maamuzi ya mahakama yatakapotoka.
Yani leo afisa mdogo kama yule anashughulikiwa na Rais?
Rais kakosa kazi kweli.
unajua sio mambo yote huwa yanatangazwa.
Mara zote inashereheshwa na wale waadhirika wenyewe.
Wakristo huwa hawana shida hata ukisema Yesu si Mungu, ukisema sijui Biblia yenu ni fake au ukisema Dini yenu ni ya uongo, huwa wapo kimya .
Iseme dini hii ya waislamu utapata shida sana.
Kwani hawa wanao tusumbua Kibiti, Tanga na Mtwara/msumbiji ni nani aliyewauudhi kama sio mambo ya kijinga kijinga tu.
MajingaaaSwadakta [emoji23] mi nawashangaa sana wanaojitahidi kumtetea kwa kudai hana akili timamu
Na kama hana akili kwa nini awe mtumishi wa uma? Na kwanini asingechana mafaili ya ofisini kwake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Angesubiria hatua za kinidhamu zikamilike ili nayeye apewe haki ya kusikilizwa halafu maamuzi yafanyike,Jafo alikuwa sahihi katika hili.
Vinginevyo hio itakuwa mihemko ya kuelekea Uchaguzi.
Kwanza inahisiwa hata mtu mwenyewe hakuwa katika akili timamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa balaa hii alipaswa aitwe na mkurugenzi amuelimishe kirafiki tu amshauri aombe msamaha kiroho safi sio kisheria Bali moral wiseKuchana Quran, Biblia na hata kuchoma moto bendera ya nchi, zinatakiwa kuwa ni haki za kimsingi za kila raia za kujieleza.
Tatizo wanasiasa wameshindwa kazi zao, wanatafuta pa kutokea kwenye mambo kama haya.Nakuelewa balaa hii alipaswa aitwe na mkurugenzi amuelimishe kirafiki tu amshauri aombe msamaha kiroho safi sio kisheria Bali moral wise
Gazeti ambalo mlitoa haya ndani yake.
Koran 2:17 iko Zaburi 33:6&9
Koran 2:245 iko proverbs 19:17
Koran 17:12 iko Mwanzo 1:14
Koran 7:199 iko Waefeso 4:31-32
Sahih al bukhari volume 9; book 93 number 559 imechukuliwa Mathayo 20:1-16
Hadith quds 18 imechukuliwa Mathayo 25:31-46
Inatosha nina mengi hadi kero, sasa kama kitabu chenu si gazeti na kina maana kushinda Biblia kwanini kimeikopi Biblia?
Ukikua na uwezo wako wakufikiri ukaongezeka utakuja tu kuelewa kua nimeongea nini,Yani kuchana likitabu kuhatarishe usalama uliopo like seriously?
I guess you're whitewashed