Rais Magufuli amkaanga vikali Waziri Kamwelwe, atishia kumuweka ndani kwa Uhujumu Uchumi

Rais Magufuli amkaanga vikali Waziri Kamwelwe, atishia kumuweka ndani kwa Uhujumu Uchumi

Asimame pia hapo Segerea azungumze na Wale waliowapiga Wanawake. Hili aslifumbie macho wala asipite hivi.Wameliaibisha taifa.
 
WAZIRI kamwelo Na Mfugale wanapaswa wajitathimini wenyewe na kisha wachukue hatua wenyewe sio kwa kukasirika kule kwa mh Rais!! Alikereka sana sana, inaonekana walimkatisha tamaa sana Rais.

Wakati mwengine tumrahisishie kazi Rais sio lazima akutimbue bali wewe mwenyewe unaweza jitafakari na kuwajibika kwa kukiuzulu mwenyewe kwa matendo yako, ni heshima kubwa kuliko kusubiria uwajibishwe, tujenge utamaduni wa kuwajibika wenyewe kabla
 
Udhalilishaji tu ,unamfanya waziri kama muhudumu wa baa.This is character assassination. Just respect them ,you don't have to shout public.
Big NO! Let him shout even louder! Tabia ya kuficha ficha uozo ndiyo imelifikisha taifa tulipo. Walikuwa wakihamishana nafasi na sisi wananchi hatukujua kilichoendelea. SHOUT LOUDER MR. PRESIDENT!!!
 
Ajiuzulu.Huwezi kukwaza aliyekuteua kisa hicho
Hii iliyompata Engineer Isack Kamwelwe leo inapaswa aandike barua ya kujiuzulu ili kuwajibika kama waziri bila kusuburi alazimishwe kama Kangi Lugola.

Itakuwa jambo la kiungwana akikubali kama kiongozi kuwajibika kwa kujiuzulu kuliko kuendelea kukaa ofisini aking'ang'ania nafasi hiyo ya kisiasa iliyomletea mtafaruku mkubwa na bosi wake leo hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah ila Magu hapana, baba anaweza kuwa mkali nyumbani unakutana nae kwenye habari anaomba msamaha kanywea kama piriton iliyoloa maji.
Hiiiiiiiiii.
 
Big NO! Let him shout even louder! Tabia ya kuficha ficha uozo ndiyo imelifikisha taifa tulipo. Walikuwa wakihamishana nafasi na sisi wananchi hatukujua kilichoendelea. SHOUT LOUDER MR. PRESIDENT!!!
Kwani alivyo shout amefanya mini kuanzia ameanza .Si kazi yake rais ya kawaida hakuna kitu special
 
hongera sana Rais wetu tunakuhitaji kuiongoza Tanzania miaka zaidi ya 30 Mungu akubariki na kukupa maish marefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema kweli rais anachoka. Huenda pia taarifa zinazomfikia zinamchochoa hasira. Huenda pia watendaji wanakabiliwa na changamoto nyingi na hawana nafasi ya kujieleza au wanaogopa.
Siamini kama Waziri Kamwele na Eng. Mfugale wanaweza kumharibia rais. Sidhani abadan but wanaweza ku resign kulinda heshima yao na ya rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big NO! Let him shout even louder! Tabia ya kuficha ficha uozo ndiyo imelifikisha taifa tulipo. Walikuwa wakihamishana nafasi na sisi wananchi hatukujua kilichoendelea. SHOUT LOUDER MR. PRESIDENT!!!
Halafu mbona akiambiwa ukweli public yeye anakasirika .Usifanyie wenzako kama wewe ugali.Akimwita na kumkaribia kama kazi yake ya kawaida kuna nini kwani si bado angewaibika
 
Back
Top Bottom