Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amnadi Patrobas Katambi, aahidi kumpa kazi nyingine Stephen Masele

Atawafukuza uwanachama ama?

Huyu JIWE hajuwi maana ya separation of powers between the three pillars of government. Bunge unatakiwa kuwa muhimili unaojitegemea usiopata amri toka kwa Rais!! Sasa eye anasema wachagueni wabunge sio kwa weledi wao bali kwa vile ni wa ccm hata kama vichwa vyao ni nazi mradi waingie bungeni ili aweze kuwathibiti!! What nonsense; Rais hatakiwi kuwathibiti wabunge bali kuwaheshimu kwa kazi yao ya kuwakilisha maoni ya wananchi. Haya mawazo ya Jiwe ni ya kidikteta!!
 
Magufuli anaongea kama utani lakini katambi asipopita Fagio litakalopita shinyanga mjini sio la kitoto litafagia wengi akiwemo Masele
Masele sasa ni mwananchi wa kawaida atamfagiaje Sasa?! Labda atamfagia mkurugenzi kwa kushindwa kuiba mafuriko ya kura za wapinzani
 
Uko sahihi, Magufuli kuna kitu haelewi. Hivi haelewi kati yake na wabunge nani anatakiwa kumbana mwenzake. Anavyombana Ndugai anadhani yuko sahihi.
 
Mbona unaleta utopolo sasa? kichwa cha bahari na habari yenyewe wala havina mantiki!
 
naona umeshachakaza tayari ujitambui sasa!
 
Wenye roho mbaya,wasiopenda kuona haki ikitendeka msiwachague.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani hata Kama wagombea Wa ccm ni mambumbu wachuguliwe hivyo hivyo hii kali ya mwaka
 
Mkuu kwake yeye nafasi za Ukuu wa Mkoa na Wilaya ni za kufariji watu....!!

Masele alitakiwa kupewa Uwaziri na kuandaliwa kwa level hata ya Urais .... Tatizo la CCM wanapenda madaraka lakini hawana succession plan ya kueleweka. Ikifika 2025 utakuta mpaka akina Makonda na Polepole watachukua form ya Urais!!
 
Sijui TAKUKURU wanatafasiri ipi juu ya RUSHWA ya Uchaguzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…