Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amnadi Patrobas Katambi, aahidi kumpa kazi nyingine Stephen Masele

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amnadi Patrobas Katambi, aahidi kumpa kazi nyingine Stephen Masele

Afisa kipenyo
Screenshot_20200821-002818.png
 
Atuletee takataka afu atulazimishe kuzibeba. Mzee hii takataka nenda nayo tu.
 
Kampeni ngumu sana....hahhaha
Eti "msiangalie sura..." kwani wakiangalia je Katambi hatoboi???
 
Amepata wakati mgumu wapi jamani? Mh Rais alisema wazi CCM siyo ya kumpata Mbunge aliyeshinda kwa tofauti ya kura 1. Huyu ni Mbunge gani na alimshinda nani? Hapo kajiuzui tu kusema ukweli kura 1 ya figisufigisu. Ukijibu hayo maswali utahitimisha kuwaJPM hakupata taabu kumnadi Katambi.
 
Hapo ndo mjue Rais Magufuli ni genius, unaweza ukazani kamsahau mtu ama kamuonea kumbe anampango naye mwingine mkubwa, mfano ni huyo Steven Masele.

Ambaye anaweza kuwa balozi kuwakilisha nchi kwenye taifa jingine, ama SADC, AU, na UN.

Watu kama ninyi ndio mnarudisha nyuma nchi hii, mnasapoti upuuz wa watawala
 
Kwanini huyo kitimbi asipewe huo ukuu wa mkoa au Ubalozi kwani kuna shida gani hapo
 
Sasa kama alijua kuna ukuu wa mkoa na ubalozi, kwanini walimkata maselle ubunge, si angempa huyo Katambi 1 ya cheo kati ya alivyotaja.

Huyu mgombea kila siku anapuyanga tu, hivi hana washauri au?
 
Back
Top Bottom