mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
Nani atakakiwa kumsimamia mwingine?
Rais kumsimamia Mbunge au Mbunge kumsimamia Raisi?
Mambo yanakorogeka.
Rais kumsimamia Mbunge au Mbunge kumsimamia Raisi?
Mambo yanakorogeka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah huo ndio ujiniasi!!!Hapo ndo mjue Rais Magufuli ni genius, unaweza ukazani kamsahau mtu ama kamuonea kumbe anampango naye mwingine mkubwa, mfano ni huyo Steven Masele.
Ambaye anaweza kuwa balozi kuwakilisha nchi kwenye taifa jingine, ama SADC, AU, na UN.
Anashinda sana tu. Wewe subiri uoneKwa hiyo anataka sisi mjini tuchague polygon? Haiwezekani hata mara moja! Katambi hashindi labda akapige mswaki kwanza ili meno yawe meupe?
Huo ukuu wa mkoa kwanini asipewe Katambi? Magufuli sometimes anachemka mnoo
Magufuli hatoshinda uchaguzi huu , huo ukuu wa mkoa atakaompa Masele atautoa wapi ?
Kwa nini huo ukuu wa mkoa au Ubalozi asimpe Katambi??Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie madiwani na wabunge wa CCM kwa sababu ataweza kuwabana.
Zaidi amedai kuwa aliyeongoza kura za maoni Ndugu Steven Masele atampangia kazi ya ukuu wa Mkoa au ubalozi. Picha inayoonekana tayari kuna ugumu katika jimbo hilo kwa kutokukubalika kwa mgombea aliyepitishwa kinyume na pendekezo la kura ya maoni.
Ameendelea kudai kuwa wasiangalie sura nzuri hali iliyoonesha kuwa kwa mtazamo wake Masele anasura nzuri ukimlinganisha na Katambi.
Wapiga kura waleo ni zaidi ya wajumbe walioianza kazi,wapiga Kyra wasichukuliwe POA Mambo ni tofauti wakati huu.Wee akili wanazo
Amuulize mwakyembe
Watu huwa wanawachukulia poa sana wapiga kura
[emoji23][emoji23][emoji23] pamoja mkuu.coment yako pia imenifanya nicheke, kula like mkuu
Sawa Shekhe Yahya. Tarehe 28 October sio mbali.Unamjua Katambi wewe ? Na unamjua hutu Masele ?unaropoka na hujui kitu. Wewebsubiri hiyo tarehe 28/10 Katambi anashinda kwa kishindo !
Duh...!. Hivi kuna watu wanaamini kabisa kuwa Magufuli hatashinda uchaguzi huu?!.Magufuli hatoshinda uchaguzi huu , huo ukuu wa mkoa atakaompa Masele atautoa wapi ?
Jamaa wewe unayumba sana ,sasa huo ndoo ugenious ? hilo lina ubunifu gani au uvumbuzi gani au ugunduzi gani mpaka useme ni genius?Hapo ndo mjue Rais Magufuli ni genius, unaweza ukazani kamsahau mtu ama kamuonea kumbe anampango naye mwingine mkubwa, mfano ni huyo Steven Masele.
Ambaye anaweza kuwa balozi kuwakilisha nchi kwenye taifa jingine, ama SADC, AU, na UN.
Haya Mambo ya kukaa kwenye Keyboard kusubiria siku ipite.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mwisho ulivyomalizia, imebidi nicheke tu
Siyo wewe pekeyako unayejiuliza hivyo. Hakuna asiyejua madudu ya huyu mgombea hata kabla ya kupata u Nyerere. Meli ya samaki wa mchina, Mv Dar, Kugawa nyumba za serikali kwa hawara zake, Usimamizi wa barabara zilizo chini ya viwango. Kweli wa Tz aliyeturoga kafa.Hata kama kwenye maisha kuna bahati mbaya, huwa najiuliza ilikuwaje huyu jamaa akawa rais?
Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie madiwani na wabunge wa CCM kwa sababu ataweza kuwabana.
Zaidi amedai kuwa aliyeongoza kura za maoni Ndugu Steven Masele atampangia kazi ya ukuu wa Mkoa au ubalozi. Picha inayoonekana tayari kuna ugumu katika jimbo hilo kwa kutokukubalika kwa mgombea aliyepitishwa kinyume na pendekezo la kura ya maoni.
Ameendelea kudai kuwa wasiangalie sura nzuri hali iliyoonesha kuwa kwa mtazamo wake Masele anasura nzuri ukimlinganisha na Katambi.
"Wachague wabunge na madiwani wa ccm ili niweze kuwabana vizuri."Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie madiwani na wabunge wa CCM kwa sababu ataweza kuwabana.