Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Uzuri alipoondoka nchini aliondoka na Ziika yake haijaonekana tena😁😁
 
rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?

Hata vichaa hufanya vitu fulani. Kama kwako wewe mtu anaetumia kodi inayokusanywa kutoka kwa Watanzania wote kwenye miradi isiyokuwa na returns huku shule zikitoa elimu ya hovyo kupata kutokea ndie shujaa basi una matatizo makubwa kuliko unavyofikiri.
 
True
 

Kwa mtu civilized na educated wala haitaji muongozo kujua do na don't do.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…