Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hoja za kijinga mkuu...Hoja za kijinga kabisa hizi!!!
Uzuri alipoondoka nchini aliondoka na Ziika yake haijaonekana tena😁😁Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? 😰😰
Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite
Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
TrueSijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? 😰😰
Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite
Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
Huyo kenge wa Lumumba hapo anaona giza tuNo, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology
Mzee anaingilia bunge, Mahakama, Mamlaka za nidhamu za wanafunzi na sasa naona anaingilia hadi mambo ya kitabibu
Kuna haja ya kuandaa Muongozo wa Job discription ya uraisi, kuna watu wanadhani ukiwa raisi basi unaweza kuingilia ofisi yoyote ile na kudischarge duty
Pumba fuTuna Rais wa ajabu haijawahi tokea!
Amefanya kama mkuu wa mkoa wa Mbeya.Kwa nini Mwele hakufuata utaratibu wa kawaida wa kumuarifu Waziri wa afya kabla hajatoa lile tamko!?
Na yeye mwenyewe mbona mara nyingi amesema uwongo lakini sisi wananchi ambao waajiri wake, hatujamfukuza?Kiukweli Zika haikuwepo na Mwele alisema uongo!
Kweli kabisa nawashangaa eti wanasema huku kuna na mbu wa malaria kitu ambacho si kweliKiukweli Zika haikuwepo na Mwele alisema uongo!
hii yako ni sawa na kusema "hii nyumba aisee ni maridadi sana - yaani imagine ina milango, madirisha halafu hadi imeezekwa... afu eti watu wenye wivu hawaitolei sifa hii nyumba pamoja na kuwa na hizi sifa za kipekee".rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Nashauri UDSM muifute Phd fake ya huyu jamaa, akiongea hana tofauti na wanywaji wa mataptapu