Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? 😰😰

Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite

Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
Uzuri alipoondoka nchini aliondoka na Ziika yake haijaonekana tena😁😁
 
rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?

Hata vichaa hufanya vitu fulani. Kama kwako wewe mtu anaetumia kodi inayokusanywa kutoka kwa Watanzania wote kwenye miradi isiyokuwa na returns huku shule zikitoa elimu ya hovyo kupata kutokea ndie shujaa basi una matatizo makubwa kuliko unavyofikiri.
 
Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? 😰😰

Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite

Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
True
 
Mzee anaingilia bunge, Mahakama, Mamlaka za nidhamu za wanafunzi na sasa naona anaingilia hadi mambo ya kitabibu

Kuna haja ya kuandaa Muongozo wa Job discription ya uraisi, kuna watu wanadhani ukiwa raisi basi unaweza kuingilia ofisi yoyote ile na kudischarge duty

Kwa mtu civilized na educated wala haitaji muongozo kujua do na don't do.
 
Back
Top Bottom