Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Jiwe anapaswa kujua kuwa katika afya kuna utaratibu maalumu wa utoaji wa taarifa.

Magonjwa ya mlipuko yote lazima yatolewe taarifa kwa notification, mfano ukitokea mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu, homa ya uti wa mgongo n.k katika kata fulani, mtu wa kwanza kuwa notified ni mganga wa wilaya naye atatoa taarifa kwa mganga mkuu wa mkoa ambaye ataripoti wizara ya afya na wizara itawajibika kutoa taarifa kwa shirika la afya duniani( WHO ), huo ndio utaratibu unavyokwenda .

Dr. Mwele amefuata utaratibu uliotakiwa, ningekuwa mimi ningeficha ujinga wangu.
 
Alisha mbrief waziri husika kabla ya siku nyingine kutangaza kwa waandishi wa habari waziri huyo huyo husika akiwepo.
Siasa na utaalamu huwa havichanganyiki kwa urahisi!
 
Sometimes it needs to be smart or intelligent enough to understand the intelligent person.

Pia,wakati mwingine inahitaji uwe expert kumuelewa expert.
Mtanyooka tu awamu hii na mabeberu yenu mara zika mara Ebola mara ugaidi. Hapa Kazi Tu!!
 
Pia mtu yyeto asiyeiamini akili yake akatumia akili ya mganga,hata awe na phone plus plus phd akiwa muumini Wa ndumba lzm reasoning capacity yake iwe chini.Tuna watu wanna phd lkn reasoning zao hazifanani na usomi wao.Unakuta msomi anaendeshwa na jujumani.
 
..kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Unashangaa nini UN na WHO kutumiwa na wabaya? Kwa taarifa yako huko wamejaa majasusi ya kibeberu!
 
Slavery mentality! PHD ni mfumo wa elimu wa kizungu usikupe shida sana
 
Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
Hii hapana. Mzee JPM umepotoka hapa. Sio sawa kucorrelate appointment ya Dr. Mwele na kutenguliwa kwake. Post kama ile hawaamki tu ndani ya week moja na kutoa appointment. Kuna mchakato unafanyika kwa muda kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…