Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Ajiongeze nini ?
Jiongeze!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiongeze!
Pacemaker wanatangulia!Ndiyo maana wasaliti wote mtakufa kwa presha
It requires wisdom to understand wisdom. Hujamwelewa Salary Slip.Pole mgonjwa wa Zika wa mwele malecela mbona hukujitokeza kudai kuwa unaumwa kipindi kile.
Hasa kama kuna mahali amevunja utaratibu au anadanganya huwa anaongea kwa uchungu sana.Mheshimiwa Rais kaongea kwa uchungu sana, nimemwelewa sana leo.
Kiukweli Zika haikuwepo na Mwele alisema uongo!
Hivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?
Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?
Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
Sadist with bipolar mental disorderAu urudi kwa magoti huku TBC1 kamera zao zikichukua kila tukio la udhalilishaji ikiwa na maswali yake ya kukudhalilisha kwa kuomba msamaha.
Napata mashaka na akili za baadhi ya watu humu JF wanashindwa kumuelewa kuwa ni mutu ya namna gani hii! Ni extremely hovyo kabisa
Ndio kimlindacho pia asingekuwa mtz asingemruhusu kuingiaHuyo Mama ana bahati ana Passport ya UN vinginevyo asingesafiri kutoka Tz
Angekuwa mandela makaburu wangelimia meno,wangepotezwa woteAlijua atapata shida baada ya kumtumbua
Chuki ni kidonda
Wakoloni walifanya zaidirais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Mtanyooka tu awamu hii na mabeberu yenu mara zika mara Ebola mara ugaidi. Hapa Kazi Tu!!Sometimes it needs to be smart or intelligent enough to understand the intelligent person.
Pia,wakati mwingine inahitaji uwe expert kumuelewa expert.
Pia mtu yyeto asiyeiamini akili yake akatumia akili ya mganga,hata awe na phone plus plus phd akiwa muumini Wa ndumba lzm reasoning capacity yake iwe chini.Tuna watu wanna phd lkn reasoning zao hazifanani na usomi wao.Unakuta msomi anaendeshwa na jujumani.Nikiwa mdogo nakumbuka niliwahi kuambiwa kuwaushirikina ni mbaya sana nisiruhusu kitu hicho kusogelea mawazo yangu, kwani ukijihusisha moyo wa utu na upendo kwa family yako, ndugu na jamaa unapotea kabisa unajengeka katika tabia ya wivu, visasi na chuki hata pasipo sababu ya msingi.
Sikuelewa, ila sasa naelewa kwa mfano halisi
Unashangaa nini UN na WHO kutumiwa na wabaya? Kwa taarifa yako huko wamejaa majasusi ya kibeberu!..kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Slavery mentality! PHD ni mfumo wa elimu wa kizungu usikupe shida sanaPia mtu yyeto asiyeiamini akili yake akatumia akili ya mganga,hata awe na phone plus plus phd akiwa muumini Wa ndumba lzm reasoning capacity yake iwe chini.Tuna watu wanna phd lkn reasoning zao hazifanani na usomi wao.Unakuta msomi anaendeshwa na jujumani.
Hii hapana. Mzee JPM umepotoka hapa. Sio sawa kucorrelate appointment ya Dr. Mwele na kutenguliwa kwake. Post kama ile hawaamki tu ndani ya week moja na kutoa appointment. Kuna mchakato unafanyika kwa muda kidogo.Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.