Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Endelea kuwatumikia bao mabwana zako huko uliko
 
Huyo dada hakuwa na nia njema. Nashangaa baadhi ya watu hapa wanamtetea wakati kilakitu kiko wazi kabisa.
Kwani kuna mtu anamtetea mkuu, ni matakataka ya pale ufipa ndio ya hasira kweli kweli
 
Hiyo vita ya uchumi inayosemwa ni ipi?
Maadui ni kina nani ktk hiyo vita?
 
Mwisho wa siku katumbuliwa
 
Funga domo lako wewe pimbi.Unajua madhara na athari za kutangaza ugonjwa kama huo wakati ukijua kabisa haupo ? Halafu ulivyokuwa mjinga unaingilia hata maswala ya ndani ya familia za watu.
 
Kiukweli Zika haikuwepo na Mwele alisema uongo!
Mkuu kwa hiyo Hawa wataalamu huwa huwa wanasema tu bila ya kutumia vipimo?hasa kwa msomi wa kiwango kile?kwa kusema tu ZIKA iko Tanzania wwazungu wakafurahi wakamwita Dr.Mwele na kumpa cheo!!!??mtu hupewa cheo kwa kusema uongo dhidi ya nchi take kweli?Hoja mbona huo ugonjwa haukuendelea sidhani kama hapa ni hoja ya msingi issue ni vipimo vilipita na ugonjwa ulionekana je tuwaamini waalimu au mabwana shamba katika jambo kama hili??
 
..kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Enheeee....halafu hv hawa mabeberu pia huwa hawatupi misaada ya madawa kweli?? Hv tunayakataaga?
 
We utakua umetumwa na mabeberu kutufundisha kazi.sisi ni one man show.
 
Naona rais hajui kitu na wanaomshabikia hawajui kitu. Sayansi sio ushabiki, bali sayansi ni facts.

Dr.Mwele Malecella alitangaza matokeo ya kisayansi yaliyotokana na utafiti uliofanywa na NIRM kuhusu Zika. Na matokeo hayo hayakuwa siri, sampuli za vipimo zilionyesha kuwa kuna watu walikuwa wameathiriwa na Zika kwa namna moja au nyingine(Na hili sio jambo la ujabu, maana ugonjwa wa Zika unaenezwa na mbu, na kwa Tanzania mbu ni mdudu wa kawaida sana).

Mpaka leo hii wizara inajua hivyo, na hakuna utafiti mwingine wowote uliokuja kufanyika tena kuhusu Zika na ukatoa matokeo tofauti.

Kama Tanzania inaona fahari kujitangaza kuwa imeathiriwa mnoo na maambukizi ya UKIMWI, TB na Malaria ili kuendelea kupata msaada ya dezo, ni kipi cha ajabu ikisikika pia kuna Zika Tanzania?

Tujifunze kuheshimu tafiti za kisayansi, na wakati wowote tujikite kuzikosoa tafiti za kisayansi kwa facts za kisayansi.
 
21st century mtu anapongeza matundu ya choo! Wonder shall never end.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…