Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Kwa taarifa yake Jiwe ajue Dr Mwele Malecela ni international respected scientist kwenye Neglected Tropical Disease. Dr Mwele ana PhD ya ukweli siyo kama ya kwake Jiwe ya plagiarism. Yeyote anayesoma hapa ajaribu ku-Google ndiyo utajua Tanzania kuna wasomi. Anazo publication nyingi tu na ni authority kwenye eneo la utafiti wa magonjwa ya binadamu...kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Hamna namna WHO wangeacha brain kama ya Dr Mwele iwe idle na ndiyo maana within 2 yrars akaanza ofisi ya Africa then akapata promotion na kwenda Geneva ambako ana majukumu ya ki-Dunia.