Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

..kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Kwa taarifa yake Jiwe ajue Dr Mwele Malecela ni international respected scientist kwenye Neglected Tropical Disease. Dr Mwele ana PhD ya ukweli siyo kama ya kwake Jiwe ya plagiarism. Yeyote anayesoma hapa ajaribu ku-Google ndiyo utajua Tanzania kuna wasomi. Anazo publication nyingi tu na ni authority kwenye eneo la utafiti wa magonjwa ya binadamu.
Hamna namna WHO wangeacha brain kama ya Dr Mwele iwe idle na ndiyo maana within 2 yrars akaanza ofisi ya Africa then akapata promotion na kwenda Geneva ambako ana majukumu ya ki-Dunia.
 
Hata Ebola iue watu 100 Ummy hatakubali
Kabisa jana nilimcheck akizungumuza nilimuhurumia anaonekana anajua ukwel ila ndo bas. Ila swala jingine kama jiwe anadai haogopi mabeberu mbona hofu nying, juz tu WHO kutamka kidogo tu watu jasho limewatoka kumbe mabeberu wanaguvu balaa. Sasa wamapambio wajipange kwan lissu ziara inaanza
 
Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? 😰😰

Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite

Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake

Mkuu:
Lemutz ana tabia gani mbaya hadi kupelekea asielewane na ndugu zake?
 
Mabeberu wamtume ili iweje? Anatamani akikutumbua upotee mazima.Ukiinuliwa anaumia
Au urudi kwa magoti huku TBC1 kamera zao zikichukua kila tukio la udhalilishaji ikiwa na maswali yake ya kukudhalilisha kwa kuomba msamaha.
Napata mashaka na akili za baadhi ya watu humu JF wanashindwa kumuelewa kuwa ni mutu ya namna gani hii! Ni extremely hovyo kabisa
 
rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Sorry bure elimu. Watu wanapenda shule kama fashion iliwaonekane wanaenda. Hamna walimu, hanna virender kazi, mtu anamaliza hajui kusoma na kuandika elimu bure oiyeee
 
Naye ana watoto wa kike, amashindwa kuwa na mapenzi na watoto!
Nikiwa mdogo nakumbuka niliwahi kuambiwa kuwaushirikina ni mbaya sana nisiruhusu kitu hicho kusogelea mawazo yangu, kwani ukijihusisha moyo wa utu na upendo kwa family yako, ndugu na jamaa unapotea kabisa unajengeka katika tabia ya wivu, visasi na chuki hata pasipo sababu ya msingi.
Sikuelewa, ila sasa naelewa kwa mfano halisi
 
Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.

Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!

Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.

'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
Kujistukia kumepelekea haya kutamkwa...
 
Mheshimiwa Rais kaongea kwa uchungu sana, nimemwelewa sana leo.
 
No, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology

Kama ilikuepo sasa ilienda wap?
 
Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.

Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!

Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.

'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
Tukisema mtu huyu ni janga hatueleweki!
Ona alivyo sasa!
 
Hata Pr. Ndulu ilitumwa na mabebelu waliomwajiri sio?

Back
Top Bottom