Mifumo ya kielimu yote ni ya kizunguSlavery mentality! PHD ni mfumo wa elimu wa kizungu usikupe shida sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mifumo ya kielimu yote ni ya kizunguSlavery mentality! PHD ni mfumo wa elimu wa kizungu usikupe shida sana
Aliumia kuona kapata kazi nyingineMzee ana chuki na kila mtu, kumfuta kazi kwake ndo alitegemea na Mungu afute ridhiki yake ama,yaan utadhani yeye ndo mtoa ridhiki
Hahahaha angefyeka mpaaka vizazi vyaoAngekuwa mandela makaburu wangelimia meno,wangepotezwa wote
Rais bora Mi nani?Hoja za kijinga kabisa hizi!!!
Hivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?
Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?
Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
Na bado wamepeka barua WHO ya kuomba USD 9.5 Million kununua dawa na vifaa vya kujikinga na EbolaKabisa jana nilimcheck akizungumuza nilimuhurumia anaonekana anajua ukwel ila ndo bas. Ila swala jingine kama jiwe anadai haogopi mabeberu mbona hofu nying, juz tu WHO kutamka kidogo tu watu jasho limewatoka kumbe mabeberu wanaguvu balaa. Sasa wamapambio wajipange kwan lissu ziara inaanza
Hey!! Kumbe Tanzania kuna elimu ya hovyo iliyotolewa ktk miaka hii inayokaribia minne ya Magufuli? Hivi mnapimaje huo u hovyo, maana naamini walioanza std1 au form 1 2016 hata mitihani ya Taifa ya kumaliza elimu zao hawajafanya?Hata vichaa hufanya vitu fulani. Kama kwako wewe mtu anaetumia kodi inayokusanywa kutoka kwa Watanzania wote kwenye miradi isiyokuwa na returns huku shule zikitoa elimu ya hovyo kupata kutokea ndie shujaa basi una matatizo makubwa kuliko unavyofikiri.
Siyo kweli... Kuna elimu za kiafrika hasa kwenye mambo ya dawa ambapo wazungu wamekuwa wakija kujifunza na kwenda kuuboresha na kuja na colored model.Mifumo ya kielimu yote ni ya kizungu
Lile tangazo lilikuwa na lengo la kuhamishia watalii wote KenyaHivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?
Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?
Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
Nyie ndio mkiona moshi mnasema gari limepita bila hata kuliona,kumbe kichaka kinaunguaNo, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology
Uchaguzi wa ndani imewashinda mkuu Haya mengine yamewazidi kimo.Sometimes it needs to be smart or intelligent enough to understand the intelligent person.
Pia,wakati mwingine inahitaji uwe expert kumuelewa expert.
Labda kwenye ukoo wenu kuna wa hivyo! Siyo kwetu! Kwanza huajelewa nimeandika nini, upo upo tu! bora unavuta oxygen!Nyie ndio mkiona moshi mnasema gari limepita bila hata kuliona,kumbe kichaka kinaungua
Vita ya kiuchumi, hivi Tanzania Vita ya kiuchumi imeanza baada Ya Magufuli kuwa Rais?Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.
Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!
Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.
'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
Wewe ni chizi kabisa Elimu bure iko wapi? Bwawa la umeme ndo nini?rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Alitumwa na taifa gani?Yule Mwele kwa hakika alitumiwa.
kwa sababu anazungumza mambo ambayo hampendi kusikia kwani yanawanyima fursa ya kuwatapeli watanzania.Tuna Rais wa ajabu haijawahi tokea!
HAPANA, SABABU UNAZIJUA KWANINI HAPENDWI, ILA UNACHOKIONA NI UNAFIKI WA NJAA MPAKA MTU ANJIITA JALALA LA MAVIkwa sababu anazungumza mambo ambayo hampendi kusikia kwani yanawanyima fursa ya kuwatapeli watanzania.
Idiot comments!HAPANA, SABABU UNAZIJUA KWANINI HAPENDWI, ILA UNACHOKIONA NI UNAFIKI WA NJAA MPAKA MTU ANJIITA JALALA LA MAVI
Ulichosema ndicho ulichosema, usilete sarakasi za kimamaLabda kwenye ukoo wenu kuna wa hivyo! Siyo kwetu! Kwanza huajelewa nimeandika nini, upo upo tu! bora unavuta oxygen!