Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Jiwe amesoma Chemistry lakini hajaelimika. Sikutegemea Mwanasayansi kama yeye aje na argument ya uharo namna hii.

Kwanza kabisa NIMR ndiyo chombo cha juu nchini kinachotambulika kisheria katika utafiti wa magonjwa. Yeye kama Rais alitumia vigezo gani kujua ugonjwa upo au haupo?

Kwa mujibu wa Sheria na protocol za NIMR, wakiona dalili ya ugonjwa kutokana na Epidemiology report inayotayarishwa na idara ya kinga ya wizara watafanya utafiti kwa kuchukua sampuli. Na wakijiridhisha watatoa taarifa kwa ajili ya kutahadharisha wananchi.

Jiwe anasema eti ugonjwa haukuwapo wakati yeye ni mbumbumbu kwenye sayansi ya binadamu na magonjwa.

Watumishi wa Afya waliogopa sana kusema ukweli kwa kuwa wagonjwa wa zika walikuwapo. Na uwoga huo ukaendelea hadi kwenye dengue. Ugonjwa wa homa ya Dengue umeua watu zaidi ya 2000 tangu ulipoingia katikati ya 2018 hadi June 2019.

Watumishi wa afya wameamua kukaa kimya na kazi wamemuachia Waziri na Rais ndiyo wawajibike.
Du we jamaa nihatari 2000?! Ulikuwa unawahesabu wapi? Au we ndiye ulikuwa unawatoa roho?
 
Mzee anaingilia bunge, Mahakama, Mamlaka za nidhamu za wanafunzi na sasa naona anaingilia hadi mambo ya kitabibu

Kuna haja ya kuandaa Muongozo wa Job discription ya uraisi, kuna watu wanadhani ukiwa raisi basi unaweza kuingilia ofisi yoyote ile na kudischarge duty
Kumbuka unamuongelea hapo sio Mbowe lakini ila kama unajitoa ufahamu umjui sawa.
Nakukumbusha tu anaanza na His excellence,president of republic of Tanzania,niambie Mbowe anaanzia na nini?
 
Mnao mtetea Mwele hamumjui au hamjawahi fanya nae kazi

Madam yeye zake ni trip tu za majuu, na kula bata, Hakuna kitu anafanya

Alisoma vizur ndio, ila uongoz pia hana
 
Huwa najiuliza kitu gani kwetu MABEBERU wakitaka watashindwa ?
 
Mbona naona kama huyu Mzee anataka kuleta hatari ktk nchi??

Ee Mungu tunusuru waja wako na jaribu hili, kila siku kuzungumzia kuhusu visasi badala ya maendeleo!!??? Daaah, hii ni hatari sana.
Ukiwa huna akili na unaona mambo kisiasa utaona kuna hatari..
 
Wakulaumiwa ni watoa phd zimekuwa cheap Sana sijui njaa za,walimu.Wanatumia reasoning test ipi kutest IQ.
Tatizo ni TCU iko ICU imeachia viongozi na watendaji wanaokota PhDs huku hata BSc/BA hawana. MTU anapata uongozi kwa sifa ya kujua kusoma na kuandika mara anajiita Dr bila hata kutaja chuo alichopatia
 
Jiwe amesoma Chemistry lakini hajaelimika. Sikutegemea Mwanasayansi kama yeye aje na argument ya uharo namna hii.

Kwanza kabisa NIMR ndiyo chombo cha juu nchini kinachotambulika kisheria katika utafiti wa magonjwa. Yeye kama Rais alitumia vigezo gani kujua ugonjwa upo au haupo?

Kwa mujibu wa Sheria na protocol za NIMR, wakiona dalili ya ugonjwa kutokana na Epidemiology report inayotayarishwa na idara ya kinga ya wizara watafanya utafiti kwa kuchukua sampuli. Na wakijiridhisha watatoa taarifa kwa ajili ya kutahadharisha wananchi.

Jiwe anasema eti ugonjwa haukuwapo wakati yeye ni mbumbumbu kwenye sayansi ya binadamu na magonjwa.

Watumishi wa Afya waliogopa sana kusema ukweli kwa kuwa wagonjwa wa zika walikuwapo. Na uwoga huo ukaendelea hadi kwenye dengue. Ugonjwa wa homa ya Dengue umeua watu zaidi ya 2000 tangu ulipoingia katikati ya 2018 hadi June 2019.

Watumishi wa afya wameamua kukaa kimya na kazi wamemuachia Waziri na Rais ndiyo wawajibike.
Acha upumabvu au wewe ndio Mwele mwenyewe? Hiyo zika iko wapi sasa? Iliishaje?

Yani watu 2000 wafe kwa dengue alafu tufichwe?

Pumabvu kabisa
 
Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? 😰😰

Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite

Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
Acha unafki, tuoneshe hiyo ZIKA ipo wapi? Km haipo ilikuwaje tukatangaziwa kuwa ipo?
 
Ndo tuone hapo kuwa Rais Magufuli kazi anayo. Tumuombee
Hivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?

Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?

Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
 
Kwani huo mlipuko wa ugonjwa aliotangaza Dr uliishaje? Au upo unaendelea kutafuna raia. Kama haupo atakuwa alitumwa kweli
 
Kwanza aliruka utaratibu wa kawaida aliopaswa kumwarifu Katibu Mkuu wa Wizara ya afya kabla ya kutamka
Huyo dada hakuwa na nia njema. Nashangaa baadhi ya watu hapa wanamtetea wakati kilakitu kiko wazi kabisa.
 
No, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology
Tililika kirahisi tusitunishiane misuli kwa terminology. Swali ugonjwa upo au haupo? Hii ya kupiga zigzqg na danadana haitusaidii
 
Vita ya kiuchumi, hivi Tanzania Vita ya kiuchumi imeanza baada Ya Magufuli kuwa Rais?
vita ya kiuchumi Tanzania inapigana na taifa gani na ktk bidhaa zipi? A fool leader deceives fool people
Ukiwa mpumbavu lazima uhoji maswali kama haya,!

Au una fikiri zinabebwa bunduki na kusema tunaenda kupigana na nchi falani sababu ya uchumi?
 
Bado ana chuki na yule mtoto masikini! Mungu atamlaani Jiwe
Atakua alinyimwa burudani nahiyo dhambi sugu yakupenda vishimo ilishamtafuna ,atakufa Nayo ,alifikiliaga tz nikisiwa!!badala azungumzie zile hela zamadini walizopigwa chenga yamwili namwezake kabudi anazungumzia uchuro mdogo huo
 
Hivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?

Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?

Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
Yaani hapo uko sawa kabisa,hata USA wana utaratibu huo kitu kama hicho kinaweza kuleta panick kwenye public na mwenye mamlaka ya Ku contain situation hiyo ni amiri jeshi. Lakini tunakosea Ku exagarate hiyo issue ili mradi tu tugain political interest. By the way hatujamsikia mwele akieleza what happened. As for me I trust mtaalam
 
Back
Top Bottom