paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,504
Hizo takwimu umepata wapi mkuu🤭huyu mzee mara zote ameonaga kuongeza mke ndio jambo muhimu maishani wala sio kusoma wala kusomesha. Kumbe ndio mana wasukuma ni wengi afu 80% hawajasoma
Magufuli ni mshamba ambaye hata kwenye kumpongeza mtu aliye strike Tanzanite, anaharibu kwa kuleta habari za ku patronize Watanzania kama watu ambao wakipata pesa wanaendekeza kuoa, tena anasema hayo kwa minajili ya ukabila na kupendelea kabila lake.Magufuli, watu watakupondaaa wee Ila ulichodhamilia kufanya Kwa ajiri ya nchi yako hakitasahaulika,
Na kawaia ya maisha ya MWANADAMU ni lazima kuwepo na dhiki, hatuwezi kutarajia mema pekee kutoka kwako, ingelikuwa ni hivyo, basi mitume wote walio wahi ishi hapa duniani wasingeliona dhiki
Tuko duniani na bado Sisi sote ni Binadamu, na wewe pia ni Binadamu, Ila uliyolifanyia Taifa Lako utakumbwa sana
😂😂😂😂😁👏Yani natamani niwe kama laizer HONGERA kwake acha sie tupambane SPORTPESA JACKPOT tutoke maana kuchimba madini ni ndoto
Maneno gani? Ya ukabila na kuongeza mke?Mkuu fata maneno usifate matendo
Hizo takwimu umepata wapnmkuu🤭
uongo mtupu wanaitolea wapi?Ingependeza tungeona picha ya hicho kipande cha Tanzanite cha 7.8B !
Unauhakika Magufuli ni msukuma? Kwa sababu anakaa ukanda huo siyo?Magufuli ni mshamba ambaye hata kwenye kumpongeza mtu aliye strike Tanzanite, anaharibu kwa kuleta habari za ku patronize Watanzania kama watu ambao wakipata pesa wanapendeleza kuoa, tena anasema hayo kwa minajili ya ukabila na kupendelea kabila lake.
tunataka majibu sio maswaliMagufuli nampenda lakini ana ushamba wa kisukuma kabisa, maono yake kila mtu anaepata maendeleo ni lazma aoe mke wa pili? Ina mana yeye ana wake zaidi ya Janeth?
Ingependeza tungeona picha ya hicho kipande cha Tanzanite cha 7.8B !
Huyo ana miliki makarasha kibaoHivi mnaposema mchimbaji mdogo mna maanisha nini? Hivi mchimbaji mdogo wa sululu ndio kapata kilo 9 na point za Tanzanite? Mchimbaji mdogo ina maana yeye ndiye aliyekuwa anachimba na sululu chini ya ardhi?
Kwenye hotuba zake si unaona ni mke mke mke tuManeno gani? Ya ukabila na kuongeza mke?
Magufuli is a country bumpkin!Katika mambo yote ya kuongea rais kaona la kuongeza mke, tena kwa minajili ya ukabila wa kupendelea kabila lake, ndiyo muhimu?
Hivi mnaposema mchimbaji mdogo mna maanisha nini? Hivi mchimbaji mdogo wa sululu ndio kapata kilo 9 na point za Tanzanite? Mchimbaji mdogo ina maana yeye ndiye aliyekuwa anachimba na sululu chini ya ardhi?
😂 Halafu ukiamka Kesho unasema umezuwia kuwa huru kuongea kila utakacho! Bongo buanaUnataka kunichagulia wapi pa kuchangia?
Katika mambo yote ya kuongea rais kaona la kuongeza mke, tena kwa minajili ya ukabila wa kupendelea kabila lake, ndiyo muhimu?