James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Hata kama si Msukuma, just for the sake of argument, kutaja makabila hapo kuna tija gani?Unauhakika Magufuli ni msukuma? Kwa sababu anakaa ukanda huo siyo?
Ukabila unaukuza wewe mkuu!
Mtu hunena kile kilichopo moyoni mwake..Magufuli nampenda lakini ana ushamba wa kisukuma kabisa, maono yake kila mtu anaepata maendeleo ni lazma aoe mke wa pili? Ina mana yeye ana wake zaidi ya Janeth?
ulitaka alipwe kiasi gani?mbona kama amepunjwa!! hiyo hela ni ndogo kulingana na mzigo huo
Majibu tutaanza kupata kwa kuacha kuchagua viongozi washambatunataka majibu sio maswali
Tatizo si kwamba nime mind kinyama.Umemaindi kinyama
Hii ndio pointi, lakini istufanye kusema kwamba Tz inamakahila zaidi ya Mia na usheeHata kama si Msukuma, just for the sake of argument, kutaja makabila hapo kuna tija gani?
Magufuli ni mtu mmoja mshamba limbukeni.Kwenye hotuba zake si unaona ni mke mke mke tu
Yani hakuna wiki inayopita bila yeye kuthibitisha hili kwa kauli na vitendo.Magufuli is a country bumpkin!
Nimezuwia?[emoji23] Halafu ukiamka Kesho unasema umezuwia kuwa huru kuongea kila utakacho! Bongo buana
Wewe kwanza jifunze kuandika Kiswahili kabla ya kujadiliana nami.Kwa hiyo wewe na akili yako umeona hilo nalo ni neno unataka tujadili?
Kwa hiyo ungependa amseme mama yako ili ufulahi?
Utani hauna haja ya kujadiliwa, lete hoja ya kujenga na sio ya utani.
Umeambiwa alichomekea!Katika mambo yote ya kuongea rais kaona la kuongeza mke, tena kwa minajili ya ukabila wa kupendelea kabila lake, ndiyo muhimu?
Nimeipenda hiiNdani ya wiki Arusha itajaa watafuta Tanzanite....
Hizo pesa sijui kama ntakuja kamata...hapa ndo unafikiria yeye aliyeacha shule akaenda tafuta madini na kupata na wewe uliyeacha madini na kwenda kutafuta kijielimu nani mwerevu ktk maisha ya sasa......duh...
Umeambiwa alichomekea!
Kisomo gani ulichonacho na upumbavu ulokujaa kichwani huo? usome usifahamu maana ya "utani"? Pathetic..huyu mzee mara zote ameonaga kuongeza mke ndio jambo muhimu maishani wala sio kusoma wala kusomesha. Kumbe ndio mana wasukuma ni wengi afu 80% hawajasoma
Hapa hata sijaelewa unataka kujenga point gani.Hii ndio pointi, lakini istufanye kusema kwamba Tz inamakahila zaidi ya Mia na ushee
Unaweza kuchomekea tu halafu hapi hapo ikazalisha mtoto.Umeambiwa alichomekea!
Kila siku akikosea mnasema kachomekea.